Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Status
Not open for further replies.
Haha maneno yako yamenifanya nikumiss ghafla ile ban imeisha mier 100..


Miss you
 
Na je in my shoes wanasema itakuja season II mbona season I imeisha kiajabu ajabu itakujaje season II bila season I kuisha?????
 
hapo kwa Adamu umeleta uongo,Adam Mchomvu ana gari yake ndio anatembelea,halafu Aisha Mchomvu ni mke halali wa Adam,,jama ni mpiganaji sana tofauti na unavyomsikia radion au kwenye vijiwe

Usitake tuendelee kumchafua huyo Mvuta mgongea bia Mchomvu kwa kumuita mpiganaji kapigania nini..........Huyo demu Aisha namfahamu kiundani toka wanaishi kinondoni walipopanga mtaa wa Dunga ye na dada yake Mama L kama unamfahamu vizuri malizia hilo jina usiwape watu vyeo wasivyokua navyo........kama ye mpiganaji na warumi tumwite nani
 
Last edited by a moderator:
Usitake tuendelee kumchafua huyo Mvuta mgongea bia Mchomvu kwa kumuita mpiganaji kapigania nini..........Huyo demu Aisha namfahamu kiundani toka wanaishi kinondoni walipopanga mtaa wa Dunga ye na dada yake Mama L kama unamfahamu vizuri malizia hilo jina usiwape watu vyeo wasivyokua navyo........kama ye mpiganaji na warumi tumwite nani

kwani warumi mpiganaji au ni mtu wa udaku..humjui Adam..and huyo demu pale kwa Mama Lo....n alikuwa anaenda tu hajawahi kuish maana that time huyu demu alikuwa anaish mbezi ya makonde karibu na Essack...bado humjui
 
wana igiza maisha ya pesa kumbe ziro wata jua wenywe kwa daimond alivyo kua habar ya mjini kumbe una weza kuta hana mia ni skendo tu. aibu
 
kaujumbe kanasomeka lakini kazito.poleni u star bongo ni mzigo...
 
kwani warumi mpiganaji au ni mtu wa udaku..humjui Adam..and huyo demu pale kwa Mama Lo....n alikuwa anaenda tu hajawahi kuish maana that time huyu demu alikuwa anaish mbezi ya makonde karibu na Essack...bado humjui
We ndo kichekesho unavyompamba mtu kama ww ndo bwana ake huyu ni marioo wa zamani tena hatangazwi we ndo hujui au una taarifa za uongo
 
kiukweli akili yako ndogo rafiki.muda wote.wa kuwafatilia hao ungekuwa umepiga mpunga kiasi gani ama kweli jakaya kazi anayo
 
Nimeitoa sehemu hapa ndo maswali ya figganigga yanvyoongezeka kichwani.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli hiyo, waalikwa ambao sehemu kubwa walikuwa watu wenye majina, walikula na kunywa kuanzia mchana hadi usiku mnene.

NISSAN MURANO
Akiwa Marekani, Diamond alimuagiza mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’ apeleke gari aina ya Nissan Morano lenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 36 za madafu ikiwa ni zawadi ya jamaa huyo kwa mkewe huyo mtarajiwa.

Alipoliona gari hilo, Wema alipigwa na butwaa huku akimshukuru Diamond ambaye kwa sasa amempachika jina la Chibu baada ya lile la Dangote ‘kueksipaya’.

MANENO KUNTU
Huku akiambatanisha na picha ya gari hilo, kupitia ukurasa wake wa Instagram alimwandikia Wema: “Nilitazama nikupe vingi huenda ingesaidia kukueleza ni kiasi gani napenda nikuone ukiwa umefurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu sina uwezo huo Mumy...tafadhali pokea hicho kidogo hiki nilichojaliwa leo.”

BMW UTATA MTUPU!
Gari aina ya BMW alilokabidhiwa na meneja wake, Martin Kadinda ndilo habari ya mjini huku nyuma yake kukiwa na maswali kibao.
MAMA WEMA AHOJI
Wa kwanza kuhoji alikuwa ni mama mzazi wa Wema, Mariam Sepetu ambaye alikataa kwamba Kadinda hawezi kutoa zawadi ya gari kama hilo hivyo minong’ono ikawa ni mingi.
Baada ya kuona hivyo, Kadinda alitoa kadi ya gari hilo lenye namba spesho za usajili ambapo jina la mmiliki lilisomeka Wema Sepetu.

MKONGO ATAJWA
Hata hivyo, pamoja na utetezi wake, maneno yaliendelea kusambaa kama moto wa kifuu kwamba nyuma ya gari kuna stori kubwa inakuja.

Minong’ono mingine ilikwenda mbele zaidi huku jamaa mmoja mfanyabiashara kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Mkongomani) akitajwa kulinunua na kumpa Kadinda akakabidhi.
Baada ya kuona gari hilo lenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 56 za madafu zinaleta utata, kama kawaida yake, Kadinda alikimbilia kwenye ukurasa wake wa Instagram akaandika:

“....Gari hili linatokana na kazi ndogo tuzifanyazo na sapoti kubwa ya watu wanaotutakia mema. Peke yangu nisingeweza bila sapoti yao....”

MSISITIZO
Akizungumza na gazeti hili juu ya sakata hilo, Kadinda alisema kwa msisitizo: “Ni mimi ndiye nimemnunulia Wema hilo gari.”

MASWALI
Huku Kadinda akisisitiza hivyo, waalikwa walibaki na maswali vichwani likiwemo lile linaloulizwa zaidi kwamba iweje yeye (Kadinda) aendeleshe gari la thamani ndogo aina ya Toyota Corola halafu ampe Wema BMW?
“Hapa pana kitu na kitakapobumburuka itakuwa soo, ni bora Kadinda angefunguka ukweli kuliko kuja kunyooshewa vidole baadaye, ngoja tusubiri,” alisikika mmoja wa mastaa walioalikwa (jina kapuni).
 
Last edited by a moderator:
Huyo Kadinda anagari gani yeye mwenyewe mpaka ampe wema hiyo BMW? kwani kazi ameshawacha wa Lulu kummeneji?
 
Hongera kwa kuanzisha Thread...........
Kaka Manager alishasema naomba usome ujumbe wake....

Yes…. Not only Murano from ya baby diamondplatnumz this BMW is yours yes….
Suprised kuona jina kwa kadi?? I meant it… this car came from kazi ndogo tufanyazo na
support kubwa ya watu who wish you the best always… peke yangu nisingeweza bila support yao.
One thing you should know nimejitolea kufanya kazi na wewe because naamini kwa tanzania ur my
number one celebrity and my wish is to see u living as a truly superstar…. Make my dreams come true basi..
People love u so much…..

From Kadinda
 
Last edited by a moderator:
hapo kwa Adamu umeleta uongo,Adam Mchomvu ana gari yake ndio anatembelea,halafu Aisha Mchomvu ni mke halali wa Adam,,jama ni mpiganaji sana tofauti na unavyomsikia radion au kwenye vijiwe

Mkuu mimi hapa sijaleta umbea, Naamini kuna maswali naweza kukuuliza kuhusu huyo unaye mtete yakakufanya usirudi hapa kucomment. Mi nataka tujadili kwa uwazi, ndio maana nikaomba kueleweshwa. Mfano Mchomvu anaendesha gari GX100 je Kainunua? Ile gari ni ya Aisha(Mama la Mama). Hiyo gari anayoendeshwa Aisha alihongwa na Bwana yake Mzungu aliye Ulaya. Au unataka kusema LIle duka la Nguo Pale Msasani ndio Kapata hela ya Kununua GX100?. Samahani Mkuu naomba uje Unieleweshe. Sababu haya maswali yananiumiza kichwa. Hivi Aisha(Mama la Mama) angekua na Hela ya GX100 angefungua duka Msasani ambapo kodi ya mwezi ni Elfu 70 kwanini asifungue k/koo?. Naomba Ufafanuzi. Mia
 
Ney wa mitego ni muongo tu ndio walewale wenye majumba ya 400m kumbe magumashi.
Mkuu ney Kajenga Nyumba yake Mwenyewe. Labda hayo Magumashi ungesema ni yapi.
Meneja wake alishafunguka kwamba anashangga utajiri aliupata Ney ni wa ghafla mno..
Ney aliwekeza hela akapunguza starehe, Kwakuwa alikua na Kiwanja Kajenga Nyumba Kitu ambacho watu hawakuamini, hadi wanashangaa katoa wapi hela za gafla za kujenga nyumba.

Hivi ndivo inatakiwa, acha kusema una hela bali acha vitendo viseme. Ni mfano wa Kuigwa. Mfano Barnaba hamna sehemu alishajisifia ana hela lakini Kafungua Bonge la Studio Bongo. Utamuuliza hela katoa wapi?. Mia
 
Hata mi huwa wana ni shangaza sana life la maigizo hawaweki sources zao za income wala wengi wao hawana cha maana lakini ni mabilionea kweli bongo movie wana tamthilia kuliko la levencha
Ndio maana nikaamua niulize, Eti Lulu hana biasha wala Kazi yoyote zaidi ya kuact movie ambazo sio zake tena kwa msimu lakini eti naye anamiliki gari ya mil 16 na anaishi Nyumba kodi zaidi ya Laki sita kwa mwezi. Kwa hela zipi? Ndo maana Nauliza sababu naona kama vile usanii unalipa. Mia
 
Hongera kwa kuanzisha Thread...........
Kaka Manager alishasema naomba usome ujumbe wake....

Yes…. Not only Murano from ya baby diamondplatnumz this BMW is yours yes….
Suprised kuona jina kwa kadi?? I meant it… this car came from kazi ndogo tufanyazo na
support kubwa ya watu who wish you the best always… peke yangu nisingeweza bila support yao.
One thing you should know nimejitolea kufanya kazi na wewe because naamini kwa tanzania ur my
number one celebrity and my wish is to see u living as a truly superstar…. Make my dreams come true basi..
People love u so much…..

From Kadinda

Mimi nashindwa kuelewa hivi mtu na akili zake timamu anashindwa kukaa chini atafakari nini hatima ya maisha yake, anakaa chini kuumiza kichwa BMW ya Wema imetoka wapi?????
 
Last edited by a moderator:
maswali magumu looooh
Haya Maswali inaonekana ni Magumu kiasi kwamba yamewafunga midomo hadi TEAM ZAO. Lakini kama wakinipa ufafanuzi nitafurahi zaidi. Au teamwema siku hizi hawalipwi? Hela itakua imekata. hahahaaa...!!!. Mia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom