Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Status
Not open for further replies.
Ayaaaaaa...........hivi ulisema voda au tigo.........?.......halafu mambo ni mengi ujue........
Ni kweli mambo ni mengi, POle sana Mkuu. Voda au Tigo yoyote sawa tu. Mia
 
Hot dialogue Bongo watu wanapenda sifa za kijinga na majivuno kumbe choka mbaya mi sishangai utapeli wa maneno kutoka kwa wasanii wa bongo njaa kali. Otherwise thanks figganigga kwa ufafanuzi mzuri wa kujenga hoja kwa maswali
 
Last edited by a moderator:
Lete ushaidi kama unaona ni uongo lasivyo wewe ndio muongo.
Duuuuh yani figganigga unasema mamake Diamond anakaa bado tandale na watu wanafurahia??...Hii thread yako imejaa uhongo mwingi sana.

Haswa kuhusu Mchomvu na wengne .
 
Ulienimention wewe ni boyaaa tuuuu,,niliona jana mnapenda ushabikii looo hhhhhhaaa mtachali midomo waziii aiseeee
Ndio mjue jamanii wanajamii umbea mtamu balaaa
Halaf Kan'ntangaze lo uliniponza jana nilikua sina muda wa kuchambana kabisaa ila poaa tu mi sina cha kupungukiwa ntabaki mi kama miiii mama la kimangaa mchanganyikoo a.k.a shombe shombee eeee patamu kwelii ndio maana mme wangu kadata chezeaaa utamu wa embe dodoo
Nimerudi upyaaa atakaenianzishia umbeaaa mimi Dinazarde nazaa nae tena mapacha dadaadeki,napita njia yangu kila mtu apite yakeee Jamii sihami ng'oooo mpaka mme wangu Redlum.anitoee,nimerudi upyaa sitak ban
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom