Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Kuna mtu kaitenda vibaya nchi hii kias kwamba Mungu tu ndo anaweza kuingilia kati. Maana kila leo kanaboresha miundombinu ya kihalifu raia tusikadhibiti kenyewe na uharibifu wake.Acha watu wapate maisha. Mbona hauongelei jinsi tulivyosaini mktaba wa 69bilioni wa kununua software ya kufuatilia kukatika tu kwa umeme...
Na mlango wa kutokea tulionao ni kuchoma chaka kalimojificha tuanze upya, Tz mpya!
Tunahitaji dikteta mzalendo asiyemo kwenye mfumo wa leo.