Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Yeah ni kweli ila wajiongeze zaidiTukiwapa wabongi tunazalisha angalau ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni kweli ila wajiongeze zaidiTukiwapa wabongi tunazalisha angalau ajira
Sasa timu ya mchangani kama stars adidas wa kazi gani?Sina maana ya kubeza udhamini huu, lakini ifike wakati tutazame mambo kwa hatua kadhaa mbele. Hivi tumeshindwa kabisa kuwavuta wadhamini wakubwa huko kina adidas, nike n.k?
Wanavokuja wale maraisa wa FIFA, sijui watendaji wakubwa wa FIFA, ma CEO huko hatujishughulishi hata kuwauliza A,B,C ambazo ni nzuri nasi tukapata hata pa kuanzia au tunapiga nao picha tu kisha wanaondoka?
Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
Kumbe, jamaa kiwanda chake kipo wapi au anatumia wazalishaji wengine yeye anaweka chapa tuSandaland
Mrundi mmoja wa Kigoma.Hivi hii Sandaland inamilikiwa na nani? Sio Mo kweli?
Unaona duka la nguo,ila huko nyuma kuna mengi.Dah! ila bongo...
Yaani mmiliki wa biashara ya duka la nguo leo kawa designer kama kina Nike, Umbro, Adidas n.k...
Anyway mwenye nacho hupewa zaidi, acha watu wale pesa...
Karia..!Sandaland= Sunderland=Simba.
Amandla...
Ni maono yako mkuu kuiona ya mchangani siwezi kukupinga ila kwangu mimi team yangu ya Taifa haiwezi kuwa ya mchangani.Sasa timu ya mchangani kama stars adidas wa kazi gani?
Acha hizo wew, Sandaland ni kampuni tu haina mahusiano yeyote na SimbaSandaland= Sunderland=Simba.
Amandla...
Huu ni uzalendo uliopitilizaNi maono yako mkuu kuiona ya mchangani siwezi kukupinga ila kwangu mimi team yangu ya Taifa haiwezi kuwa ya mchangani.
Watanzania tuna changamoto ya kutothamini vya nyumbani, hta hao nike walianza km sandaland.Sina maana ya kubeza udhamini huu, lakini ifike wakati tutazame mambo kwa hatua kadhaa mbele. Hivi tumeshindwa kabisa kuwavuta wadhamini wakubwa huko kina adidas, nike n.k?
Wanavokuja wale maraisa wa FIFA, sijui watendaji wakubwa wa FIFA, ma CEO huko hatujishughulishi hata kuwauliza A,B,C ambazo ni nzuri nasi tukapata hata pa kuanzia au tunapiga nao picha tu kisha wanaondoka?
Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app