Hahaha kweli mambo yamegeuka"Jambo lako nalifanyia kazi, sijakusahau.”
Shida siyo hiyo, ni pale msela kauchuna anaendelea na mambo mengine then Bi dada anaamua kurudi mwenyewe, hii Kitu zamani haikuwepoMtu anakwambia "suala lako bado nalifanyia kazi nitakujibu" halafu unasema anateseka na mapenzi huoni kama upo kwenye foleni anasubiri wa kumchomoa akuweke wewe
Anarudi ili amuongeze kwenye list, kwanza nimeshangaa kuna watu mnajibiwa nitakufikiria, mbona mimi hua ni viemoji vya kopa kopa tu mtoto huyoo anakuja getoShida siyo hiyo, ni pale msela kauchuna anaendelea na mambo mengine then Bi dada anaamua kurudi mwenyewe, hii Kitu zamani haikuwepo
Hii nayo kweli lakini wengi hawana ujasiri huo kutokana na haiba Yao ya kikeNafikiri ilitakiwa wanawake ndo wana-make first move, haya masuala ya kutongoza(kuwashawishi) ni kama tunawalazimisha ndo maana hata matukio yanakuwa mengi. Mwanamke akikutaka yeye ni nadra sana kukutana na vitimbwi kwasababu anakuwa amekupenda mwenyewe bila kulazimishwa
Kabisaaa, mwanamke akikutaka hawezi kukwambia nitakufikiria, utashtukia tu yupo mikononi mwakoNafikiri ilitakiwa wanawake ndo wana-make first move, haya masuala ya kutongoza(kuwashawishi) ni kama tunawalazimisha ndo maana hata matukio yanakuwa mengi. Mwanamke akikutaka yeye ni nadra sana kukutana na vitimbwi kwasababu anakuwa amekupenda mwenyewe bila kulazimishwa
Hivi wewe ni Mwanamke au Mwanaume🤣🤣Anarudi ili amuongeze kwenye list, kwanza nimeshangaa kuna watu mnajibiwa nitakufikiria, mbona mimi hua ni viemoji vya kopa kopa tu mtoto huyoo anakuja geto
Utajua hujuiiiiiiHivi wewe ni Mwanamke au Mwanaume🤣🤣
Hahaha daahUtajua hujuiiiiii
Kheee!😬Boss naomba msaada wako wa Shilingi Elfu 50 nilipie matibabu na dawa za ugonjwa unaonisumbua kwa sasa
Huo ndo uzuri wake sasa, akiweza kuku-approach hivyo maana yake yupo serious kwa sababu amevuka vipengele vingi kihisia mpaka kijamiiHii nayo kweli lakini wengi hawana ujasiri huo kutokana na haiba Yao ya kike
Asante Daktari Mariposa kwa Msaada wako, MUNGU akubarikiKheee!😬
Nimekutumia namba ya kutuma hela inbox. Natanguliza ShukraniAsante Daktari Mariposa kwa Msaada wako, MUNGU akubariki
Umenigusa Sana. Namkumbuka sana kipenzi changu, nilimpenda sana, ila akampenda mtu mwingine ambae na Mwamba kumbe alikuwa na mpango mwingine, dada wa watu akaishia kuishi bila mume. Alifariki akiwa hana mtoto na akaacha Mali nyingi kaka zake wakazizingira, jmn maisha haya