Shilingi imegeuka: Siku hizi wanawake wanateseka mnoo kwenye mahusiano

Hawa gen Z ndo wameharibu hii dunia walahi😂😂 mambo yao rahisi sana yani unakutana na kadada asubui jioni unaweka🙌🏼 sasa kwa mazingira hayo mwanaume hawezi kusumbuliwa maana kupata sex ni easy na ndo kikubwa wanaume tunataka, tofauti na zamani pussy ndo iyo iyo moja mtaa mzima mnafukuzia demu mmoja ile nikutoana jasho sana nakuumizana moyo😂😂😂 now days zaga adi kwa google unazipata na inafika om” alafu kuna mamsi inakusumbua na majibu, majibu gani!!
 
Na hii ya wao kuachana nakurudi” unajua wanawake akikaa na wewe akakuzoea ataleta mazoea haijalishi una bunda au laah!!! Unaweza kumpa kila kitu na bado akaenda kulala na jamaa mmoja mzembe tu” ukiamua kumuacha ukaondoka apo ndo shida inaanza anakuwa hakupendi ila zile moment na memories ndo zinamtesa atataka kulimganisha kila mwanaume anaekutana nae na wewe😂😂😂 anakuja ku realize your the best baada yakukitembeza uko nje, sasa akiona hamna issue na hawamjali kama ulivyo kuwa ukifanya wewe ndo anarudi na vilio na misamaa!!! Na hii kurudi hawarudi kwa wanaume wote mara nyingi wale wenye vibunda ndo wanarudiwa” sasa lawama wapewe gen Z wanerahisisha sana maisha😂 zamani kwanza wanaume tulikuwa tunaogopa wadada vbya sana, ila now days kukutana na kakijana kadogo kanakula bonge la mmaza ni kawaida sasa kajamaa kama haka unakaumiza vipi moyo? Lazima wanawake wateseke sana round hii na wamekuwa na kiburi hapo ndo wakaharibu kabisa nakushusa thamani zao!!! Wanawake wanafikiri kujitambua ni kuwa na dharau kwa wanaume zao hii ndo inawamaliza kina sister aise
 
Mambo yako kote kote, hata wanaume siku hizi hawajui kutongoza, mwanaume anatongoza eti "Salome nimekuelewa" ndio amemaliza mtongozo anasubiri jibu

😂😂😂😂 mambo yasiwe mengi buddah!! Sasa utamwambia nini kipya ambacho hajawai ambiwa?
 
Sio nyie kiiila uchwao mnalia lia humu kuwa wanawake wa siku hizi hawapendi mtu bali pochi!! Vipi mmebadili mawazo au ndio utafiti mpya uchwara wa kufit ego zenu🙆‍♂️🙆‍♂️
1789335866517.png
 
Kama hospitali nasubiria majibu na nayapata kwa wkt kwa ajili ya matibabu..hayo majibu ninayosubiria wik au mwez yana manufaa gan kweny maisha yangu?
 
Na hii ya wao kuachana nakurudi” unajua wanawake akikaa na wewe akakuzoea ataleta mazoea haijalishi una bunda au laah!!! Unaweza kumpa kila kitu na bado akaenda kulala na jamaa mmoja mzembe tu” ukiamua kumuacha ukaondoka apo ndo shida inaanza anakuwa hakupendi ila zile moment na memories ndo zinamtesa atataka kulimganisha kila mwanaume anaekutana nae na wewe😂😂😂 anakuja ku realize your the best baada yakukitembeza uko nje, sasa akiona hamna issue na hawamjali kama ulivyo kuwa ukifanya wewe ndo anarudi na vilio na misamaa!!! Na hii kurudi hawarudi kwa wanaume wote mara nyingi wale wenye vibunda ndo wanarudiwa” sasa lawama wapewe gen Z wanerahisisha sana maisha😂 zamani kwanza wanaume tulikuwa tunaogopa wadada vbya sana, ila now days kukutana na kakijana kadogo kanakula bonge la mmaza ni kawaida sasa kajamaa kama haka unakaumiza vipi moyo? Lazima wanawake wateseke sana round hii na wamekuwa na kiburi hapo ndo wakaharibu kabisa nakushusa thamani zao!!! Wanawake wanafikiri kujitambua ni kuwa na dharau kwa wanaume zao hii ndo inawamaliza kina sister aise
Vijana siku hizi hamna aibu kutembea na wamama duhh!
 
Back
Top Bottom