Shilingi imegeuka: Siku hizi wanawake wanateseka mnoo kwenye mahusiano

Nacheka kama Mazur 😃😃😃 kwa umri huu niwaze Mapenz et yanitese et nisijielewe

Hao uliokutana nao wanaoteseka ni watoto wa 2000 umri ambao Mapenz yametawala bongo zao Kadri umri unapoenda na jinsi ubongo unavobadili fikra na kutafakar kila maamuz yako
 
Nafikiri ilitakiwa wanawake ndo wana-make first move, haya masuala ya kutongoza(kuwashawishi) ni kama tunawalazimisha ndo maana hata matukio yanakuwa mengi. Mwanamke akikutaka yeye ni nadra sana kukutana na vitimbwi kwasababu anakuwa amekupenda mwenyewe bila kulazimishwa
 
Hii nayo kweli lakini wengi hawana ujasiri huo kutokana na haiba Yao ya kike
 
Kabisaaa, mwanamke akikutaka hawezi kukwambia nitakufikiria, utashtukia tu yupo mikononi mwako
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…