Shilingi ya Tanzania inazidi kuangukia pua

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kipindi nikiwa Tanzania rate ilikua Tsh 20 = 1 Ksh, lakini leo muamala wa Mpesa ya Voda kuja kwa Kenya, rate inatumika Tsh 23.48 = 1 Kshs
Kwa dollar ndio imebamizwa chini maana naona rate inachezea kwenye Tshs 2,320 = 1 USD

Najua waimba pambio za kusifu hamtakawia na zile kauli zenu za kusema hata Yen ya Japan iko ovyo, ila mnasahau Japan hawategemei kuagiza agiza kila kitu kutoka nje, wao wana viwanda, sasa kwa hali kama hii mfanya biashara ndani ya Tanzania anayetegemea kuagiza kutoka nje ili auze ndani lazima anaonja cha moto.
 
Duh kwa hili huwa nakosa ujanja. Jiwe anaua uchumi wa nchi ila kila siku utasikia stats za kupikwa zinatolewa eti uchumi umekuwa kwa asilimia kadhaa lakini in reality hakuna reflection yoyote.
Hakuna kiti kibaya kama nchi kudanganya kwenye mambo ya kiuchumi kw a sababu mwisho wa siku msemo wa "mficha maradhi kifo humuumbua" lazima utimie. Na hapo ndo tunakuwa tumeitengeneza Zimbabwe ndani ya nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie jamii ya wajinga na wapumbavu huwa mnajifanya kujua msiyoyajua

Nakwambia ujadili hoja uache kumshambulia mtoa hoja kisa hoja aliyoitoa iko against na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi umeshambulia hoja? Kama unamalalamiko si ufungue uzi wako. Sasa kanin ulete malalamiko ya kipumbavu kwenye uzi wa mwnzio, umejiingiza kenye upumbavu wewe mwenyewe kwa miguu yako. Usinilaumu.

Na je, ivi kumwambia a-deal na magaidi wa alshabab kuna ubaya? Au ww pia ni muislam extremist? Kuna waislam ukitajwa ugaidi tu matumbo yanawachafuka, shit!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya vyumba vya juu kwa juu.........
 
Useless Kenya man get a life
 
Kimbembe kwenye dollars ndani ya December ilikuwa 2305 juzi Kati February imefika 2350 bado inapanda utaskia Sasa hv mianne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is something fishy going on in TZ only time will tell.
 
Lakini mjue kuwa kupanda au kushuka kwa thamani y a dola hakuna uhusiano na Rais
Ni michezo ya central bank na wall street bankers, wanafanya manouvre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is something fishy going on in TZ only time will tell.

[emoji23][emoji23][emoji23]umekaa sehemu unaandika hii.

Kafanye kazi wewe,utashindia githeli mpaka udumae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…