MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kipindi nikiwa Tanzania rate ilikua Tsh 20 = 1 Ksh, lakini leo muamala wa Mpesa ya Voda kuja kwa Kenya, rate inatumika Tsh 23.48 = 1 Kshs
Kwa dollar ndio imebamizwa chini maana naona rate inachezea kwenye Tshs 2,320 = 1 USD
Najua waimba pambio za kusifu hamtakawia na zile kauli zenu za kusema hata Yen ya Japan iko ovyo, ila mnasahau Japan hawategemei kuagiza agiza kila kitu kutoka nje, wao wana viwanda, sasa kwa hali kama hii mfanya biashara ndani ya Tanzania anayetegemea kuagiza kutoka nje ili auze ndani lazima anaonja cha moto.