Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Shilingi ya Tanzania imeanza kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani. Kwa data za BoT kwa kipindi cha Jan 26 hadi Feb 5, thamani ya Shilingi imeshuka kwa takriban 3%.
Ikumbukwe kuwa bado tunaendelea kuuza dola ili kuongeza ukwasi sokoni na pia tumeanza kuuza dhahabu.
Mwaka jana tulizuia vitu kutajwa bei kwa dola ya kimarekani. Hatua gani nyingine itachukuliwa?