Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Inflation huendana na purchasing power,watu hawana hela patakua na inflation!?..hao uliowataja walichofanya ni kuwakosesha watanzania uwezo wa kununua
hahah kwa logic yako basi inamaanisha kwamba rich countries with higher purschasing power zitakuwa na higher inflation klk poor ones, lkn takwimu zinaonyesha kinyume chake na siyo kweli, ukweli ni kwamba highest inflation rates ziko poor countries with venezuela, south sudan, sudan the highest in the world ...