Hopkinsvile
Member
- Jan 17, 2026
- 91
- 315
We kama tahira mradi aanzishe yeye afu auhujumu!? kikwete alikuwa anamhujumu kupitia samuyaMara ngapi waliahidi hiyo miradi kuwa tayari na isiwe!?.. unadhani huko bwawani hapakua na watanzania wakifanya kazi na kuona maendeleo ya bwawa!?