Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Uwe unapitia takwimu,siyo unaongea tu kama mlevi wa komoni, uchumi ulikua kiasi gani 2020 na ukoje leo?Binafsi, sitegemei ukuaji wa uchumi wa nchi chini ya huyu kilaza....kwasasa nchi inajiendea tu ndio maana wanauza hadi mali za umma kama dhahabu!.
Hiyo ni 'AI' shilingi haijashuka thamani......View attachment 3539477
Shilingi ya Tanzania imeanza kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani. Kwa data za BoT kwa kipindi cha Jan 26 hadi Feb 5, thamani ya Shilingi imeshuka kwa takriban 3%.
Ikumbukwe kuwa bado tunaendelea kuuza dola ili kuongeza ukwasi sokoni na pia tumeanza kuuza dhahabu.
Mwaka jana tulizuia vitu kutajwa bei kwa dola ya kimarekani. Hatua gani nyingine itachukuliwa?
Usitegemee kabisa chini ya bunge hili na viongoz hawaBinafsi, sitegemei ukuaji wa uchumi wa nchi chini ya huyu kilaza....kwasasa nchi inajiendea tu ndio maana wanauza hadi mali za umma kama dhahabu!.
BUwe unapitia takwimu,siyo unaongea tu kama mlevi wa komoni, uchumi ulikua kiasi gani 2020 na ukoje leo?
Kuna watu wanasemaga maandamano ya Tarehe 9 hayakufanikiwa, ni WajingaView attachment 3539477
Shilingi ya Tanzania imeanza kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani. Kwa data za BoT kwa kipindi cha Jan 26 hadi Feb 5, thamani ya Shilingi imeshuka kwa takriban 3%.
Ikumbukwe kuwa bado tunaendelea kuuza dola ili kuongeza ukwasi sokoni na pia tumeanza kuuza dhahabu.
Mwaka jana tulizuia vitu kutajwa bei kwa dola ya kimarekani. Hatua gani nyingine itachukuliwa?
Taja mradi wa magufuli aliouacha ukiwa walau 35%,zaidi ya kwenda kukopa vicoba na kuiachia nchi madeni ya kijinga, magufuli aliuporomosha uchumi,ukakua kwa 4%wakati aliachiwa 7%,mama sasa upo 5-6%B
Ukitoa mirad ya Magufuli huyo malaya wako anabakiwa na nini
Huyu mamako hata umpambe vp watz walio wengi kamwe hawatakuelewa, imagine ndiye rais kaweka rekodi kwa kupaisha deni la taifa kutoka trilion 70+ hadi trilion 100+ ndani ya miaka mi4 tu ya uongozi wake!!.Taja mradi wa magufuli aliouacha ukiwa walau 35%,zaidi ya kwenda kukopa vicoba na kuiachia nchi madeni ya kijinga, magufuli aliuporomosha uchumi,ukakua kwa 4%wakati aliachiwa 7%,mama sasa upo 5-6%
Taja mradi wa magufuli aliouacha ukiwa walau 35%,zaidi ya kwenda kukopa vicoba na kuiachia nchi madeni ya kijinga, magufuli aliuporomosha uchumi,ukakua kwa 4%wakati aliachiwa 7%,mama sasa
Magufuli amekufa kwenye Corona uchumi dunia nzima ulikuwa chini. Miradi mingi Magufuli amekufa imebakiza asilimia chache mama ako akawa anamtuma january aseme mara hakuna crane kama bwawa la nyerereTaja mradi wa magufuli aliouacha ukiwa walau 35%,zaidi ya kwenda kukopa vicoba na kuiachia nchi madeni ya kijinga, magufuli aliuporomosha uchumi,ukakua kwa 4%wakati aliachiwa 7%,mama sasa upo 5-6%
Uwe unapitia takwimu,siyo unaongea tu kama mlevi wa komoni, uchumi ulikua kiasi gani 2020 na ukoje leo?
Tunakoelekea tutakuwa kama zimbabwe😭😭😭View attachment 3539477
Shilingi ya Tanzania imeanza kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani. Kwa data za BoT kwa kipindi cha Jan 26 hadi Feb 5, thamani ya Shilingi imeshuka kwa takriban 3%.
Ikumbukwe kuwa bado tunaendelea kuuza dola ili kuongeza ukwasi sokoni na pia tumeanza kuuza dhahabu.
Mwaka jana tulizuia vitu kutajwa bei kwa dola ya kimarekani. Hatua gani nyingine itachukuliwa?
Magufuli usimfananishe na vitu vya kijinga wewe mkund'kuwaka wa Igunga..Taja mradi wa magufuli aliouacha ukiwa walau 35%,zaidi ya kwenda kukopa vicoba na kuiachia nchi madeni ya kijinga, magufuli aliuporomosha uchumi,ukakua kwa 4%wakati aliachiwa 7%,mama sasa upo 5-6%
Umejaa gesi!?..yule hakutakiwa kuwa rais,rais wa hovyo kupata kutokea nchi hiiMagufuli usimfananishe na vitu vya kijinga wewe mkund'kuwaka wa Igunga..
Inflation huendana na purchasing power,watu hawana hela patakua na inflation!?..hao uliowataja walichofanya ni kuwakosesha watanzania uwezo wa kununuahistoria ya mfumuko wa bei (inflation) tanzagiza, wakati wa Mwinyi juu, B.Mkapa akashusha, alipoingia Kikwete juuu, Magu akashusha, kaingia Samia kaanza kupandisha, ni pattern ...
chanzo: World Bank Open Data
Tanzagiza Inflation Rate
View attachment 3539506
Asilimia ngapi we pimbi!?.. hakuna mradi uliokua umevuka 35%Magufuli amekufa kwenye Corona uchumi dunia nzima ulikuwa chini. Miradi mingi Magufuli amekufa imebakiza asilimia chache mama ako akawa anamtuma january aseme mara hakuna crane kama bwawa la nyerere
Anakopa kulipa madeni ambayo magu alikopa vicoba,Yana riba kubwa na kipindi kifupi cha kulipa,akiacha deni litakuaHuyu mamako hata umpambe vp watz walio wengi kamwe hawatakuelewa, imagine ndiye rais kaweka rekodi kwa kupaisha deni la taifa kutoka trilion 70+ hadi trilion 100+ ndani ya miaka mi4 tu ya uongozi wake!!.
Hamna kitu pale mkuu sema unamtetea kwa njaa zako mkono uende kinywani!