Inflation huendana na purchasing power,watu hawana hela patakua na inflation!?..hao uliowataja walichofanya ni kuwakosesha watanzania uwezo wa kununua
Inflation ziko mbili,cost-push inflation na demand pull inflation,kuna inflation USA na wanalia,pesa ilile haiwezi nunua groceries zilezilehahah kwa logic yako basi inamaanisha kwamba rich countries with higher purschasing power zitakuwa na higher inflation klk poor ones, lkn takwimu zinaonyesha kinyume chake na siyo kweli, ukwli ni kwamba highest inflation rates ziko poor countries with venezuela, south siudan, sudan the highest in the world ...
malaya wako alirudisha asilimia chini ili apige pesa.Asilimia ngapi we pimbi!?.. hakuna mradi uliokua umevuka 35%
Kulikua na pesa ya kupiga!?.. mpaka mama wa watu akawa anahaha duniani kusafisha nchi Ili tupate pesa, maana yule mchunga ng'ombe alivurunda mbayamalaya wako alirudisha asilimia chini ili apige pesa
mama yako na kukopa mbona miradi imesimamaKulikua na pesa ya kupiga!?.. mpaka mama wa watu akawa anahaha duniani kusafisha nchi Ili tupate pesa, maana yule mchunga ng'ombe alivurunda mbaya
Mradi gani umesimama?..sgr dar-moro magu alipiga kelele miaka mingapi akisema punde itaanza na haikuanza hadi mola kamchukua?!mama yako na kukopa mbona miradi imesimama
Malaya wako miradi iliyokuwa iishe 2021 anaizindua 2025 mwezi wa Kumi na bado akaua kujiapishaMradi gani umesimama?..sgr dar-moro magu alipiga kelele miaka mingapi akisema punde itaanza na haikuanza hadi mola kamchukua?!
Magu si mola alimchukua march 2021,mbona hakuzindua!?..walau hata sgr dar-moro!?Malaya wako miradi iliyokuwa iishe 2021 anaizindua 2025 mwezi wa Kumi na bado akaua kujiapisha
Uwe unapitia takwimu,siyo unaongea tu kama mlevi wa komoni, uchumi ulikua kiasi gani 2020 na ukoje leo?
Kweli wewe jamaa ni mpumbavu sanaTaja mradi wa magufuli aliouacha ukiwa walau 35%,zaidi ya kwenda kukopa vicoba na kuiachia nchi madeni ya kijinga, magufuli aliuporomosha uchumi,ukakua kwa 4%wakati aliachiwa 7%,mama sasa upo 5-6%
Samuya na kikwete ndio unawaita mola auMagu si mola alimchukua march 2021,mbona hakuzindua!?..walau hata sgr dar-moro!?
malaya mmekuwa wengiAnajua kusoma na kuelewa takwimu?
Ungetaja huo mradi aliouacha ukiwa above 35% kiasi fulani ungedhihirisha upumbavu wanguKweli wewe jamaa ni mpumbavu sana
Muwe mnaheshimu taaluma za watu,wakikwambia COVID-19 ni mbaya kwa watu wenye sukari, pressure, ukimwi na shida za moyo basi elewa,siyo kusingizia mapapai Yana COVID-19Samuya na kikwete ndio unawaita mola au
2021 kalemani anahutubia bunge alisema bwawa litafunguliwa mwezi wa 7 akaja makamba 2021.Ungetaja huo mradi aliouacha ukiwa above 35% kiasi fulani ungedhihirisha upumbavu wangu
Mara ngapi waliahidi hiyo miradi kuwa tayari na isiwe!?.. unadhani huko bwawani hapakua na watanzania wakifanya kazi na kuona maendeleo ya bwawa!?2021 kalemani anahutubia bunge alisema bwawa litafunguliwa mwezi wa 7 akaja makamba 2021.
limekuja kuuanza kazi lini!?
Anakopa kulipa madeni ambayo magu alikopa vicoba,Yana riba kubwa na kipindi kifupi cha kulipa,akiacha deni litakua
Si unajua Mungu wako wa chato kwa utawala wa hovyo alinyimwa funds, akaenda kopa vicoba na kupora hela za raia kwenye mabenki
Kuhusu watanzania achana nao,wengi wajinga,wanaamini hata makahaba dayaspora
Jakaya alishakubaliana na EXIM bank china kujenga sgr,kwa mkopo wa riba 2%,huyo Mungu wako akaingia makubaliano na uturuki, mkopo riba 10% na waturki wakaenda kopa EXIM bank chinaUtawala unaoita wa hovyo ndio umeleta mabadiliko mengi chanya ambayo tunayaona kwa macho na kila weekend unapandisha kinyeo chako kwenda Dodoma kwa wabunge kufukuliwa mtaro kupitia SGR.