Shilingi ya Tanzania yashuka kwa 3% dhidi ya dola ndani ya wiki moja

We fala tuu


Nawashanhaa wanaopoyeza muda kujizana takataka kama ww
 
Huyo jakaya alisubiri mda wake uishe ndio akubaliane nao
 
We kama tahira mradi aanzishe yeye afu auhujumu!? kikwete alikuwa anamhujumu kupitia samuya
Kikwete alishaleta wabrazil kufanya feasibility study hapo, nyerere alianza kuweka vitendea kazi,mradi siyo wazo lake...na nashangaa wapi nimesema magu alihujumu huo mradi!?..umekunywa visungura
 
Kikwete alishaleta wabrazil kufanya feasibility study hapo, nyerere alianza kuweka vitendea kazi,mradi siyo wazo lake...na nashangaa wapi nimesema magu alihujumu huo mradi!?..umekunywa visungura
Feasibiliy study alisubiri akiwa anamaliza mda wake!?
kikwete angekuwa na mpango huo angeweka kwenye ilani yake 2010
 
kweli hawezi fanya yote malaya wako anachoweza kufanya ni kuteka, kutesa, kufira na kukuua na kikwete Anachoweza ni kula kodi na kuuza nchi yetu
Pole sana,kunywa maziwa upunguze sumu mwilini
 
Uwe unapitia takwimu,siyo unaongea tu kama mlevi wa komoni, uchumi ulikua kiasi gani 2020 na ukoje leo?
Sasa hii kanuni ya kulinganisha uchumi wa mwaka 2020 na wa mwaka 2026 wewe umeitoa wapi?

Unajua ni kwa nini bajeti inapangwa kila mwaka na mpango wa maendeleo ni kwa miaka mitano mitano na Dira ya Taifa Kila baada ya miaka 25?
 
Wachumi wetu wanazidu kusema tuko vizuri kiuchumi.

Wachumi chawa hao!! Samia inabidi afungwe luku kwani anakoelekea ataiweka nchi pabaya ; kuendelea kukopa bila mpango na kuingia mikataba ya muda mrefu na wawekezaji bila kujua implications zake hapo baadde kutakuja kuiletea nchi matiatizo ya jinsi ya kuthibiti rasilimali za nchi dhidi ya hawa wawekezaji hasa wa madini na gesi!!
Mikataba wanaingia na hasa wawekezaji wa madini na geni ni ya muda mrefu hivyo haijalishi ni serikali gani itakuwa madarakani iwe ya Samia au ya JESHI hiyo mikataba wanayoingia ni lazima iheshimiwe la sivyo nchi itaingia gharama kubwa ya kulipa fidia tusipokuwa waangalifu wa kusoma maandishi madogo katikati ya mistari ya mikataba hiyo kwani huko ndiko vipengele hatarishi hufichwa !! La sivyo hawa mafisadi watawachia wajukuu zetu matatizo kwwasababu ya tamaa zao za kupenda rushwa na pengine most likely wakati huo wakina Samia watakuwa wametangulia!!
 
Sasa hii kanuni ya kulinganisha uchumi wa mwaka 2020 na wa mwaka 2026 wewe umeitoa wapi?

Unajua ni kwa nini bajeti inapangwa kila mwaka na mpango wa maendeleo ni kwa miaka mitano mitano na Dira ya Taifa Kila baada ya miaka 25?
Senseless question bro
 
Uwe unapitia takwimu,siyo unaongea tu kama mlevi wa komoni, uchumi ulikua kiasi gani 2020 na ukoje leo?
Tukimlinganisha huyo "mlevi wa komoni" na wewe uliyeandika jibu hili ni wazi kabisa ni bora huyo mlevi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…