Shilingi ya Tanzania yashuka kwa 3% dhidi ya dola ndani ya wiki moja

Always mnampandisha Jakaya kwenye mambo aliofanya Magufuli. He had 10 good years kwanini asingelifanya hayo kama yalikuwa rahisi. Ficheni upumbavu wenu wakati mwengine.
 
Uwe unapitia takwimu,siyo unaongea tu kama mlevi wa komoni, uchumi ulikua kiasi gani 2020 na ukoje leo?
Kama ulikua kwa miaka ya nyuma ni kitu gani kimewafanya mshindwe kuumaintain na ikibidi kuupandisha zaidi? Uwe unajibu kama kweli unajua siyo kuleta siasa hapa!
 
Sasa hivi shilingi inashuka kwa kiwango cha kutisha. Mpaka mwishoni mwa mwaka dola moja itabadilishwa si chini ya shilingi 3,000. Sasa hivi ukiweza nunua dola uhifadhi, shilingi iko kwenye uelekeo wa hovyo sana.
 
Taja mradi wa magufuli aliouacha ukiwa walau 35%,zaidi ya kwenda kukopa vicoba na kuiachia nchi madeni ya kijinga, magufuli aliuporomosha uchumi,ukakua kwa 4%wakati aliachiwa 7%,mama sasa upo 5-6%
Hujielewi
 
Uwe unapitia takwimu,siyo unaongea tu kama mlevi wa komoni, uchumi ulikua kiasi gani 2020 na ukoje leo?
Ww nae n ndezi tuu, 2020 mpaka 2026 imepita miaka mingapi?
N mambo mangapi yanaweza kufanyika ndani ya miaka 6?
 
Afu semaji la serikali linasema et nchi imeanza kuweka akiba ya gold awamu ya 6, hili jamaa sijui linakielewa kweli daah nachoka mimi
 
Always mnampandisha Jakaya kwenye mambo aliofanya Magufuli. He had 10 good years kwanini asingelifanya hayo kama yalikuwa rahisi. Ficheni upumbavu wenu wakati mwengine.
Rais hawezi Fanya yote ndani ya miaka kumi,michache sana, mkapa alipanga brt, kikwete akatekeleza, projects alizofanya kikwete kwenye miundombinu zilikua nyingi,achilia mbali utawala huko
 
Madhara ya kumkabidhi nchi mtu aliyekuwa na ndoto ya kuwa air hostess litaigharimu Taifa kwa muda mrefu sana.
 
Jambo jema sana kwetu, inaenda kupanda haswa haswa!
Vitu vinapanda bei na gharama za maisha yanaongezeka wakati kipato hakijaongezeka ni tatizo hilo bei ya Diesel itaongezeka zaidi huku uzalishaji mdogo au mkubwa gharama zake ukiongezeka kazi sio ndogo hapo..
 
Rais hawezi Fanya yote ndani ya miaka kumi,michache sana, mkapa alipanga brt, kikwete akatekeleza, projects alizofanya kikwete kwenye miundombinu zilikua nyingi,achilia mbali utawala huko
Huu ndio usenge ambao siwezi kukubaliana nao. Sasa alifanya mengi yapi ambayo hayawezi kuwa quantified. Usiongelee ujenzi wa vyoo na madarasa na hospitali maana kila kiongozi hayo anaweza kuyafanya.
 
Huu ndio usenge ambao siwezi kukubaliana nao. Sasa alifanya mengi yapi ambayo hayawezi kuwa quantified. Usiongelee ujenzi wa vyoo na madarasa na hospitali maana kila kiongozi hayo anaweza kuyafanya.
Alijenga barabara za lami zaidi ya walizojenga Marais watatu waliomtangulia, alijenga vyuo vikuu,udom na cha ulinzi,aliajiri sana,alipandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa 80+% na kuwapa nyongeza kila mwaka mpya wa fedha, mikopo elimu ya juu baada ya kuongeza udahili pakubwa,ruzuku kilimo, miundombinu ya kilimo,Jenga sekondari za kata, brt nk
 
February 6, 2026


🇿🇲 VIEWPOINT | Zambia’s Kwacha Strength Signals Structural Progress, Not Luck

View: https://m.youtube.com/watch?v=a4yHifMzL9kAt a time when many emerging market currencies are wobbling under inflation pressures and geopolitical risk, the Zambian kwacha has quietly stood out. As of 5 February 2026, the kwacha was quoted around ZMW 18.40 to 18.72 per US dollar, a level that underscores a broader shift in Zambia’s macroeconomic trajectory.

This is not a short-lived currency blip. It reflects a confluence of fundamentals including rising commodity prices, monetary discipline, external support, and improved confidence among investors and traders.

The kwacha is also showing resilience beyond the dollar story. It has held firm against regional peers such as the South African rand, the Kenyan shilling, and even smaller frontier currencies like the Rwandan franc. In a continent where exchange rate instability remains one of the clearest signals of economic stress, Zambia’s relative strength is becoming a regional outlier.

Here is why the kwacha’s momentum matters, and why it appears grounded in real economic change rather than fleeting sentiment.

Copper remains Zambia’s most important export, accounting for more than 70 percent of export earnings. The metal’s price has climbed to multiyear highs on global demand, driven by electrification, renewable energy infrastructure, and electric vehicle supply chains. Analysts on international markets routinely point to copper as a green transition metal, whose demand trajectory is expected to remain strong.

Stronger copper export receipts mean more foreign exchange flowing into Zambia’s economy. That inflow supports the balance of payments and reduces pressure on importers needing dollars, both of which underpin currency strength.

Zambia’s macro narrative this year has been one of stabilisation first, growth second. The recent performance of copper has fast-tracked parts of that process.

In late 2025, Zambia completed its Extended Credit Facility with the International Monetary Fund, unlocking about US$190 million in final disbursement and bringing total programme support to approximately US$1.7 billion since August 2022.

Completion matters far more than the final cheque. It signifies policy discipline across fiscal, monetary, and structural fronts, from fiscal consolidation to debt transparency and tighter public financial management.

For currency markets, IMF completion is a stamp of credibility. It tells investors that Zambia is managing its books, restructuring debt responsibly, and reducing the risk of sudden policy shocks.

This is a central part of President Hakainde Hichilema’s economic governance strategy. The kwacha’s stability is one of the clearest market signals that the reform path under his administration is being priced in.

Parallel to currency strengthening, Zambia’s foreign reserves have recovered from historic lows during the debt crisis. While exact up-to-date reserve figures vary across reports, the broad trajectory from crisis-era volatility to multi-billion-dollar buffers has restored confidence among importers and market makers.

Reserve buffers matter because they help central banks intervene when needed, smooth volatile capital flows, and reduce dependency on short-term external borrowing.

In a region where many currencies remain exposed due to weak reserve cover, Zambia’s rebuilding of buffers is a meaningful stabiliser.

The Bank of Zambia has maintained a tighter monetary stance relative to past cycles, aiming to anchor inflation expectations. Although inflation remains a concern across many emerging markets, a consistent policy approach, when paired with stronger export earnings, supports the currency.

Markets reward predictability, and the kwacha is benefiting from that signal.

Across Africa, currency pressure remains widespread. The South African rand continues to swing with global risk sentiment. The Kenyan shilling faces external financing pressures. Several frontier currencies remain strained by import dependence and dollar shortages.

Zambia’s kwacha, by contrast, is showing resilience not only against the dollar but also across this regional currency map. Even modest appreciation against currencies such as the Rwandan franc reinforces the view that Zambia’s strength is structural, not accidental.

© The People’s Brief | Ollus R. Ndomu
 
Dollar ikiongezeka Tanzania na Currency zingine zinaikomalia shilingi huko Yen nao imekomaa huku rand nayo imeikomalia shilingi kazi ipo..bank imeongeka shilingi 14 kwa kila shilingi moja toka 150 mpaka 164 kwa jana.
 
Maza umefanya mengi sana kwenye nchi hii. Kama wengine waliopita una weakness nyingi sana . Pia sio rahisi kwa miaka 10 kwamba ungemfurahisha kila mshiriki kwenye safari hii. Si ajabu wengine wanasema hujafanya chochote toka ulipoingia but wanadanganya. Umefanya mengi sana dear. Ila tutafanya Nini sasa Maza? Watu hawakuelewi. Ila si ni binadamu hatuna shukrani usikate tamaa pigana, pambana usiwakasirikie.
Wenye macho tumeona!
Nb. Maza majizi yamekuangusha sana katika kipindi chako hiki. Majizi yapo kila Kona. Juu mpaka chini. Ulituahidi katiba tuletee sasa tuepuke
Rushwa, ufisadi na hata tuwe na chaguzi za wazi!
 
Vitu vinapanda bei na gharama za maisha yanaongezeka wakati kipato hakijaongezeka ni tatizo hilo bei ya Diesel itaongezeka zaidi huku uzalishaji mdogo au mkubwa gharama zake ukiongezeka kazi sio ndogo hapo..

Kuna watu vipato vyetu ni dollar ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…