Hatuna tatizo tuna Grade A ya Uchumi kule juu!!! Ha ha haaa!!! Hutaki??? Mbona unaguna Sasa !!!Uchumi
Policy ya TZS haiiangalii KES acha kujificha kwenye utetezi wa ajabu. Kwamba Kenya ndio inafanya TZS iwe na value ndogo kwa safaru zote za trade partners wakubwa wa Tanzania. China, South Africa, Japan, UAE, India na Kenya wote hao ni trade partners wetu wakubwa how comes Kenya ambayo ni kama 6% ya trade ndio ifanye tuwe na weak currency.Tuna devalue our currency kuboresha manunuzi ya bidhaa zetu!! Si tunazalisha sana na tunawauzia sana wakenya....Sasa tykipandisha bei ya shilingi watanunuaje? China waliowahi kufanya mchezo huu dhidi ya dollar ... nadhani walifanikiwa.....!!!
Majibu ya hoja yako yapo mengi sana hili jibu la kwangu usilitilie maanani maana sina utaalamu wa foreign exchange!
"PPP"(parities)Tuna devalue our currency kuboresha manunuzi ya bidhaa zetu!! Si tunazalisha sana na tunawauzia sana wakenya....Sasa tykipandisha bei ya shilingi watanunuaje? China waliowahi kufanya mchezo huu dhidi ya dollar ... nadhani walifanikiwa.....!!!
Majibu ya hoja yako yapo mengi sana hili jibu la kwangu usilitilie maanani maana sina utaalamu wa foreign exchange!
Katika uchumi mchawi ni "comparative & competitive advantages" kati ya nchi hizi mbili kuendana na hali ya uchumi ilivyokuwa wa sasa.Ndugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya Kenya inabadilishwa kwa Tshs.19.82. Kulikoni?. BOT mko wapi?.
Sasa exchange rate inahusianaje na uchumi wa nchi?
Acha uongo ni bidhaa zipi mnauza Kenya mpaka mjilinganishe na China wanaofanya over production.Tuna devalue our currency kuboresha manunuzi ya bidhaa zetu!! Si tunazalisha sana na tunawauzia sana wakenya....Sasa tykipandisha bei ya shilingi watanunuaje? China waliowahi kufanya mchezo huu dhidi ya dollar ... nadhani walifanikiwa.....!!!
Majibu ya hoja yako yapo mengi sana hili jibu la kwangu usilitilie maanani maana sina utaalamu wa foreign exchange!
Hapa umetudanganya sana mkuu.KES ndiyo iliyoporomoka na sasa imepanda thamani.
But tangu enzi za Kikwete KES ni 20 TZS.