JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Unashangaa wao kutokuwa na dolla wakati serikali Yako yenyewe haina pia. By the way hizo dollar ndizo zinafanya wanauziwa vitu bei juu. Endeleeni kumsifu na kumuabudu ajuza.Mingi inayobishana humu hata hizo dollar hawana kazi nazo wala hawajawahi kuziona.