Shillingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya

Shillingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya

Mbona hii simple tu.
Tanzania inataka ku protect wazalishaji wa ndani against wa kenya.

Maana yake import from Kenya will be expensive compare to export to Kenya.

Maana yake bidhaa za Tanzania zitakuwa cheap nchini kenya while bidhaa za kenya zitapotea kwenye soko la Tanzania.
 
Ndugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya Kenya inabadilishwa kwa Tshs.19.82. Kulikoni?. BOT mko wapi?.
Maana yake uchumi wa kenya una panda wetu unashuka viongozi wamekali wizi tuu kuficha mabilon nje ya nchi hadi dola nchin zinapotea
 
Kweli tunao vilaza wa kutupwa hapa nchini. Hebu ndugu zangu fanyeni hii hesabu,,,

Dola moja hivi sasa ni Ksh 129.50 kutoka 162..75 mwezi wa Januari mwaka huu. Hii ina maana shilingi ya Kenya imezidi kuimarika katika kipindi hicho.

Hiyo hiyo dola moja kwa sasa ni Tsh 2,575.00 kutoka 2,510.00 mwezi wa Janauari mwaka huu ikiwa na maana shilingi yetu inazidi kuporomoka.

Jamani tuache unafiki, tuna hali mbaya. Eti kuna wakati pesa hizi zilikuwa na thamani sawa...kwa kweli CCM inaiangamiza taifa hili.
Uchumi haupo hivyo kijana wangu. Ukiangalia Exchange rate anagalia pia na Inflation rate.

Uchumi ni kuhusu mtumiaji wa mwisho kijana wangu.

Ukitaka kujua hivyo angalia liter moja ya petrol kenya inauzwa dollar ngapi against bei ta Tanzania.

Kumbuka sote tunanunua mafuta in dollars.
 
Uchumi sio wa kila mtu.
Economics is the study of scarcity and its implications for the use of resources, production of goods and services, growth of production and welfare over time, and a great variety of other complex issues of vital concern to society.
 
Ndugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya Kenya inabadilishwa kwa Tshs.19.82. Kulikoni?. BOT mko wapi?.
As long as wote ni makapuku
 
Hamia Malawi, alisikikika Waziri mmoja akisema
Ukiona kiongozi anatoa kauli za kipuuzi kama hizo ujue ubongo wake haujiwezi na hajui dhamana yake kiuongozi.
-hamieni Burundi,
-bugieni nyasi,
-pigeni mbizi,
-chama /serikali haijaleta njaa,mafuriko,tetemeko
-kutoa maamuzi kinyume na hali halisi kiuchumi au kimazingira.Ujue huo mbichwa ni wa kukatwa na kutupia fisi.
 
Nchi yetu na nchi nyingi za Afrika sekta ya uzalishaji(manufacturing) iko chini au haipo kabisa, tumekuwa soko la bidhaa za nje hata tunazoweza zalisha hapa ndani.
 
Lazima ihusiane kwa sababu ubora wa uchumi wako ni pamoja na thaman ya pesa yako dhidi ya pesa za wengine ndio maana nchi zote zenye uchumi mzuri na pesa yao ki thaman ipo juuu kama hujaelewa ingia chimbo
Kati ya Japan na Kenya ni nchi ipi yenye uchumi mkubwa?
Nikiangalia Exchange rate hapo KES ni superior kwa Japanese Yen.

Nipe ufafanuzi hapo mtaalam wa uchumi.
 
Nje ya mada ,Majamaa yanachukua makaa ya mawe kutoka songea yanapita iringa dom to Kenya,matokeo njia ya iringa dom inateketea.najiuliza pale mpakani yanalipwaje?
Je sisi hatuwezi alika mwekezaji aje achimbe na kusafirisha hayo makaa ya mawe,?Songea nayo inateketea kwa mavumbi.
TISS usalama wa raiavwaachie polisi wao wajikite na USTAWI WA NCHI.
 
Hatuna tatizo tuna Grade A ya Uchumi kule juu!!! Ha ha haaa!!! Hutaki??? Mbona unaguna Sasa !!!
Grade A ya uchumi ambaye hajawahi kutoka nje ya nchi na kufanya kazi kwenye taasisi yoyote credible, Bali katoka Singinda hapo akawa mwanasiasa, kisha akawa Dr. Akiwa na cheo Cha kisiasa hapa chuo Cha UDSM, ambacho wahadhiri wake ukiwa na madaraka wanakuuliza wakupe ufaulu wa kiwango gani!
 
Nimeuliza swali muhimu sana Exchange Rate ya Ksh inauhusiano gani na Ukuaji wa Uchumi?
Watu hola
Wanaanza kumjadili mtu. Leteni issues za kisomi.
 
Uchumi sio wa kila mtu.
Economics is the study of scarcity and its implications for the use of resources, production of goods and services, growth of production and welfare over time, and a great variety of other complex issues of vital concern to society.
Masikini Venus Star...kweli JF imekuwa kokoro. Zamani JF haikuwa hivi...bado nakumbuka siku Makamba alipomwaga viwavi humu baada ya kuyanunulia simu janja makapi yaliyototolewa kwenye mikesha ya mwenge kama wewe!
 
Back
Top Bottom