Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,252
Dada yetu Shishi Beibe aamua kuonyesha minyonyo yake baada ya show kubuma Ubelgiji. Ushauri kwa wasanii wetu muziki wetu bado sana nje ya Africa kazeni kwanza hapa huko Ulaya na America hebu waachieni kwanza kina JAy Z na wengineo wenye ubavu la sivyo kuna siku mtacheza uchi kabisa jukwaani ili kuridhisha mashabiki.

Shame on you Shilole

 
Jamani hiyo nayo mnashangaa, michuchu yenyewe kwisha kaz sidhani ka alipata wa kuyaangalia. Wacha ajikumbushie siku zileeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…