Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
View attachment 251041
View attachment 251042
View attachment 251043
Huyu mwanamke kaingia ulaya kumemchangaya anafanya show nusu uchi au alijuwa ndio wasanii wanavyoiteka dunia?Ni aibu sijuwi anarudije kwenye aridhi ya nyumbani.
Aibu ya taifa Ainu ya ukoo na familia nasubiri tamko la BASATA

