Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Halafu jamani sijui macho yangu,yule anaecheza nyuma yake Shilole si PAUL KAGAME au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asije Kujamba TU
teh teh teh sina mbavu...we jamaa hufaiHalafu jamani sijui macho yangu,yule anaecheza nyuma yake Shilole si PAUL KAGAME au ?
Show yenyewe ilikua kwenye bar uchwara hata watu kumi hawafiki na nguo kavua. Sionagi anachoimba zaidi ya kujizalilisha hata hao wahudhuriaji show zake mhjhhh!
Halafu jamani sijui macho yangu,yule anaecheza nyuma yake Shilole si PAUL KAGAME au ?
Yoka Losambo,Tata Zambe,Shilole ni miongoni mwa wanawake ambao anaishi kimjini mjini yaani kwa kujiuza kisanii kama hivyo. Ila hana lolote na wala yeye hajali kama kuna lolote baya maana hata basha wake Mziwanda ameshamtetea kwenye Instagram kuwa ni makosa ya mpiga picha
Mzuwanda akili Hana kabisa Sasa mpiga picha ndiyo alimtuma atoe minyonyo yakeShilole ni miongoni mwa wanawake ambao anaishi kimjini mjini yaani kwa kujiuza kisanii kama hivyo. Ila hana lolote na wala yeye hajali kama kuna lolote baya maana hata basha wake Mziwanda ameshamtetea kwenye Instagram kuwa ni makosa ya mpiga picha
Na ndio maana hupenda Kusema .
Mwacheni LADY JAY DEE awe Jidee wa ukwelii.
Huyu ndio msanii peke yake mwenye kuelewa anachokifanya.Na ndio maana yupo vizuri na hana njaa na yupo tayari atoe nyimbo mbili kwa mwaka lakini habari yake kubwa.
Salute kwako JIDeee,Msalimie Mwasiti wa THT anaekufuata nyayo zako.
Nukuu:AFANYE DELE
Sio wote tuimbe,sasa hapo waimbaji watajulikana na wacheza mdundiko kwenye makasino watajulikana.