Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Hivi wakati anatoka alikuwa hajioni? Mbona anaonekana mchafu? Shilole utabadilika lini!
 

Attachments

  • 1431366429598.jpg
    1431366429598.jpg
    45.4 KB · Views: 3,851
Amekusudia,maana amaezoea.Ila leo mungu kaamua tujue kwamba watu wakienda huko Macasino ya Ulaya wanafanya balaa gani.

Na huyu ndio amefanya Mafuriko yatokee,maana maziwa yake alivyoyainamisha tu basi mawingu yote mazito ya mvua badala ya kuelekea Madagascar na Mauritius basi miziwa ikamwaga kwetu mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Mafuriko matupu

Na huu upepo umesababisha na shuzi lake alilotugeuzia huku,vutuuuuuuuuuu hadi mabati yakaezuka.

Tumeishamjua mbaya wetu wa mafuriko Nchini.Na ndio maana hata TMA wamesema kwamba hali ya mvua kubwa inatoweka,na hiii ni baada ya kumbaini aliesababisha hali hii.Sasa sijui akija watamhoji au vipi.

Mh! Makubwa madogo yananafuu!
 
Deo hao kaka na dada wananafuuu.
Huyo ana watoto,sasa sipati picha wanae hali inakuwaje na ukuwaji wao,na hizi picha ni still pictures.
Na hii picture wamefanya kusudi ili ku boost jina.Maana watu wameishaanza kuwachoka.

Lakini wafaham kwamba athari yake ni kubwa sana kuanzi duniani hadi mbele ya mungu.
Ni bora kauli ni rahisi sana kupotea,kuliko picha.Na hii inaonyesha kwamba mengi yalikuwa yanafichwa.Na inawezkana hiip icha ndio mtumaji akaona inanafuu ngoja arushe.La sivyo kuna picha za balaa tupu.

Serikali waachieni Kangamoja wafanye yao.Maana hao wengine ni zaidi ya yale

Unamuonea wivu sana Shilole
 
Dada yetu Shishi Beibe aamua kuonyesha minyonyo yake baada ya show kubuma Ubelgiji.ushauri kwa wasanii wetu muziki wetu bado sana nje ya Africa kazeni kwanza hapa huko Ulaya na America hebu waachieni kwanza kina JAy Z na wengineo wenye ubavu la sivyo kuna siku mtacheza uchi kabisa jukwaani ili kuridhisha mashabiki.Shame on you Shilole

please nifah usije huku utaniona bure...
 
Last edited by a moderator:
Mahojiano yako hivi:

Nuhu:-Baby unaona watu kwenye mitandao jinsi wanavyolalamikia picha,ilikuwaje ukaruhusu picha ipigwe?

Shilole:Wewe waache wangapi wamepiga picha na sehem zao za siri ziko wazi na waliseema mwisho wakaacha,we waachae

Nuhu: Sasa mie nyumbani ndugu zangu akiwemo,mama na baba wanasema sio vizuri tunawatia aibu,

Shilole:Koma we,kwani uliponitaka uliwaambia,waambie wasiingie kwenye mitandao kwa muda wa mwaka mmoja.
Halafu Baby nimekumbuka,we acha nikitoka napitia Dubai,nawaletea zawadi nyingi sana,halafu waambie niliweshwa kwa bahati mbaya.naamini watanielewa,au unasemaj

Nuhu:Kweli hilo nalo wazo zuri Baby,lakini sasa Mungu tunamuambiaje

Shilole:Mungu niachie mie mwenyewe nitaongeanae,nikija mwezi mzima naenda nyumba za Ibada tena nakaa mbele ili Mungu anione vizuri.

Nuhu: Sawa,lakini pia huoni kama watoto wakikuwa wataziona hizi picha,na zitawaathiri kisaikolojia

Shilole:We shenzi nini?hao watoto wenyewe kila mmoja na baba yake.We unaona kuna salama hapo?Nasubiri tu huyo mmoja utamfundisha kuimba na huyo mwingine nitamfundisha kukatikia wanaume.Kazi kwisha.

Nuhu:Sawa baby nimekuelewa,halafu vipi mie na wewe lini sasa tutapata mtoto wetu

Shilole:-Nimekuambia subiria kwanza,we unaona huku ndio natafuta pesa na ninatukanwa ili tupate kula,sasa mie nikikaa ndani na mimba na wewe na kisingo chako kimoja hicho cha Mdondo Ngoma kilichokutoa unafikiria kuna maisha hapo.

Nuhu:Sawa Baby angalua hapo umenifariji,maana huku naonekana kituko sana kwa wenzangu,na ukizingatia kuna wasanii wengine ulikuwanao kimapenzi basi wananichora tu.

Shilole:Achana nao,wote hao mambo hawayawezi wewe ndio kiboko na ndio maana nimeganda kwako Baby wangu

Nuhu:Hahaha,kweli Baby,hahahah asante,namie nilishangaa mrembo kama wewe kunikubali,hahahaha

Shilole:eheee,ndio ujue,sasa we sikia maneno ya watu tu.

Nuhu:
Sasa ukija unapitia njia gani

Shilole: Nashukia Nairobi nakuja basi au nashukia Kilimanjaro,tuangalie maisha yetu wangu

Nuhu: Sawa,lakini kweli kila mtu namaisha yake,si kuna yule Video queen alipiga picha uchi kabisa,na leo watu wote kimya

Shilole:Unaona sasa Baby wangu?kumbe unaakili ndio maana nakupenda,na hili watasema kisha wataakimya wao wenyewe?Mie ndio Shishi Baby.
 
Nimesikia "you heard" Clouds anasema eti ni bahati mbaya nguo ya ndan ilibenjuka so nyonyo ikachomoka bila yy kujua kutokana na mzuka wa stejin ila kama c unafiki anasikitishwa na aliemchukua iyo picha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom