Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana.
Mbunge mtarajiwa wa CCM
Huyu shilole ana mtoto kweli?
Siamini kama kweli huyo ni yeye!Hivi wakati anatoka alikuwa hajioni? Mbona anaonekana mchafu? Shilole utabadilika lini!
Inasikitisha sana.
Inasikitisha sana.
kwa mara ya kwanzaInasikitisha sana.
hahahahahaa basi jamani imetosha.Amekusudia,maana amaezoea.Ila leo mungu kaamua tujue kwamba watu wakienda huko Macasino ya Ulaya wanafanya balaa gani.
Na huyu ndio amefanya Mafuriko yatokee,maana maziwa yake alivyoyainamisha tu basi mawingu yote mazito ya mvua badala ya kuelekea Madagascar na Mauritius basi miziwa ikamwaga kwetu mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Mafuriko matupu
Na huu upepo umesababisha na shuzi lake alilotugeuzia huku,vutuuuuuuuuuu hadi mabati yakaezuka.
Tumeishamjua mbaya wetu wa mafuriko Nchini.Na ndio maana hata TMA wamesema kwamba hali ya mvua kubwa inatoweka,na hiii ni baada ya kumbaini aliesababisha hali hii.Sasa sijui akija watamhoji au vipi.
hivi anamtoto mbona yamekomaa sana au anawanyonyesha hawa wenye meno 32