frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,339
ziwa lenyewe limelala kama ndala.shilole mchafu
Mchafu kweli, hivi huyu ni bint au mmama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ziwa lenyewe limelala kama ndala.shilole mchafu
Usishangae na mwezi wa Ramadhan wanaalikwa kwenda kufuturu kuleee....pembezon wa BaharMkuu yule dogo anakimbizwa tu,maana Shilole mwenyewe Makombo ya Barnabas.
Sasa kama Nuh akienda chumvini ajue kwamba Mwenzie Barnabas alikaanae kama mke kisha akaona majanga moja kwa moja akaenda kuoa zake.
Halafu lazima tukubali kwamba Shilole sio muimbaji,yaani yeye na Snura ni wale wale.Na muda wao wa kwenye Game ndio safari yake hiyoo.Maana naona wao na Kangamoja sioni tofauti.hawana jipya na watu wameishawachoka.
We tangu lini Bongo Movie au wengine huita Ngono Movie ikatoa mwanamke wa maana muimbaji.
Halafu huwa wakijohijwa kwenye Tv unawasikia mie namuomba sana mungu ndio maana nafanikiwa.
Halafu wengie wakienda huko Nje ya nchi ni kwamba wanapelekwa makasino tu.We ukumbi gani huo.Si bora hata kwa Macheni Bar.
Na mawakala kama kawaida yao hawakawii kuwauza kwa wapenda nyepe.
Sipati picha,maana anawatoto,sasa na tabia ya picha mnato ni kwamba mpaka dunia inafutika hazipotea na hata dunia ikipotea ni kwamba Siku ya kuitwa mbele ya Mungu utaonyeshwa picha balaa lako.Na zaidi watoto wake wataziona na yeye akiwa kizee wajukuu zake wataona Bibi yao alivyokuwa Mcharuko bin Mchepuko.
Halafu kwenye nyumba za Ibada watu kama hao kwa kupenda kukaa mbele,hahahahah yaani balaa
Aisee ,si bure wewe huna wazazi
Mbunge mtarajiwa wa CCM
Dah hizi show za kujidhalilisha wanazoenda kupiga bar! Eti ulaya! Dada kajidhalilisha sana
ZS mpambe wewe .teh teh teh tehHuyu Mdada ni mzuri kiukweli.
Lakini mfumo wake wa Maisha ndio tata.
Cha msingi angerudi kwenye Filam tu,kwenye kuimba sie kabisaaaa.Maana yeye na Snura wote hawana jipya.
Na hata kwenye Filam akirudi pia Cv yake mbaya,maana muandaaji filam anataka filam yake ipokelewe vizuri.
Ukilazimisha kupata pesa kwa mtoto wa kike kwa jiji la Dar lazima utaharibu tu,na mbaya zaidi shule hana.
Mwenzie Stara Thomas,shule kidogo ipo na anakazi yake na familia yake na anafanya mziki kama vile kipaji tu na sio biashara.Ni miongoni mwa The Most respected artist wa kike chini ambae alijitambua na anaendelea kujitambu.Maana hadi juzi nasikia Jo Makini kamuomba Stara aingize kipande kwenye nyimbo yake kwa kutambua heshima na mchango wake.Na hizi nyayo ndio La Jaydeee anazifuata.
Sanaa inatabia moja:
Kwanza sanaa huwa inamfuata mtu,na sio mtu kuifuata sanaa.
maana ukiifuata basi jua lazima utailazimisha ikukubali bila yenyewe kukukubali.
matokeo yake unakuwa kituko.
Kama mods mtamuacha huyu gasho bila kumpa ban ntamporoshea matusi mfululizo,watu wanaozaliwa kupitia haja kubwa ni shida sana unawezaje kutukana dini ya watu kwa kosa la mtu mmoja,mbona nyie mmeasiwa wakat wa utoto huko church na watu tumekaa kimya?msitulazimishe kupata dhambi,tuheshimiane