Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Sidhani hapa twamsaidia lolote lile, huyu mtu akili zake ni ndogo na hizo ndogo alizopewa kashindwa zitumia, vitu anavyofanya vimedhihirisha hilo.
Ikitokea waombea nchi yetu basi waombee na watu wenye akili ndogo kama hizi kwani ndio wanarudisha nchi na jamii nyuma. Kuna watu watamwiga na kuharibika kama yeye.
Eeeh Mungu okoa Taifa lako

Ni kweli huyu tumuombee. Maana hajitambui. Sasa huyu ndo naye anataka kugombea ubunge ? si itakuwa aibu tu huko Bungeni .AIBU TUPU
 
Sir maatope katika ubora wake hiyo show itakua imeacha historia antwerpen belgium
 
Miziwa yenyewe mibayaa.... halafu juu kavaa nywele za bandia aonekane mzungu wakatiyukokwa wazungu... kumbe ndio maana waafrika wanadharauliwa sana ulaya..
 
Mhhhh kwa kweli sijaona 'chuchu' hapo....labda uyape jina jingine!
 
Huyu shishi beibe anashindwa kuboost mtindi wake kweli?
 
Sasa Mbona Huo Uchi Hapo Siuoni? Hebu Ipige Tena Picha Yako Vizuri Na Utuonyeshe Huo Utupu Wake Na Siyo KUZOZA Tu Humu Kienyeji.
Mkuu au unadhani uputu ni pupu lile tu, hata hilo lichuchu ni utupu!
 
Mahojiano yako hivi:

Nuhu:-Baby unaona watu kwenye mitandao jinsi wanavyolalamikia picha,ilikuwaje ukaruhusu picha ipigwe?

Shilole:Wewe waache wangapi wamepiga picha na sehem zao za siri ziko wazi na waliseema mwisho wakaacha,we waachae

Nuhu: Sasa mie nyumbani ndugu zangu akiwemo,mama na baba wanasema sio vizuri tunawatia aibu,

Shilole:Koma we,kwani uliponitaka uliwaambia,waambie wasiingie kwenye mitandao kwa muda wa mwaka mmoja.
Halafu Baby nimekumbuka,we acha nikitoka napitia Dubai,nawaletea zawadi nyingi sana,halafu waambie niliweshwa kwa bahati mbaya.naamini watanielewa,au unasemaj

Nuhu:Kweli hilo nalo wazo zuri Baby,lakini sasa Mungu tunamuambiaje

Shilole:Mungu niachie mie mwenyewe nitaongeanae,nikija mwezi mzima naenda nyumba za Ibada tena nakaa mbele ili Mungu anione vizuri.

Nuhu: Sawa,lakini pia huoni kama watoto wakikuwa wataziona hizi picha,na zitawaathiri kisaikolojia

Shilole:We shenzi nini?hao watoto wenyewe kila mmoja na baba yake.We unaona kuna salama hapo?Nasubiri tu huyo mmoja utamfundisha kuimba na huyo mwingine nitamfundisha kukatikia wanaume.Kazi kwisha.

Nuhu:Sawa baby nimekuelewa,halafu vipi mie na wewe lini sasa tutapata mtoto wetu

Shilole:-Nimekuambia subiria kwanza,we unaona huku ndio natafuta pesa na ninatukanwa ili tupate kula,sasa mie nikikaa ndani na mimba na wewe na kisingo chako kimoja hicho cha Mdondo Ngoma kilichokutoa unafikiria kuna maisha hapo.

Nuhu:Sawa Baby angalua hapo umenifariji,maana huku naonekana kituko sana kwa wenzangu,na ukizingatia kuna wasanii wengine ulikuwanao kimapenzi basi wananichora tu.

Shilole:Achana nao,wote hao mambo hawayawezi wewe ndio kiboko na ndio maana nimeganda kwako Baby wangu

Nuhu:Hahaha,kweli Baby,hahahah asante,namie nilishangaa mrembo kama wewe kunikubali,hahahaha

Shilole:eheee,ndio ujue,sasa we sikia maneno ya watu tu.

Nuhu:
Sasa ukija unapitia njia gani

Shilole: Nashukia Nairobi nakuja basi au nashukia Kilimanjaro,tuangalie maisha yetu wangu

Nuhu: Sawa,lakini kweli kila mtu namaisha yake,si kuna yule Video queen alipiga picha uchi kabisa,na leo watu wote kimya

Shilole:Unaona sasa Baby wangu?kumbe unaakili ndio maana nakupenda,na hili watasema kisha wataakimya wao wenyewe?Mie ndio Shishi Baby.

Sio bure umelipwa wewe...ujibu maswali yangu yote yaliyokuwa yakisumbuka kutoka
 
Huyu dada wakimuacha ataendelea kuwa janga katika nchi hii
 
Kutoka uhouse girl hadi ucelebrate siyo mchezo
 
Back
Top Bottom