sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
Kumbe nyonyo zake hazisimami mpaka apige deki ndio maana anazipiga jeki
Mkuu hii ni statement au mstari wenye vina..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nyonyo zake hazisimami mpaka apige deki ndio maana anazipiga jeki
Mkuu hii ni statement au mstari wenye vina..?
Zimeshalamba mpaka hazina mvuto tena
Halafu mbona yupo kama kwenye Grocery anaimba na si ukumbi??
Point hii mkuuMungu wetu mvumilivu sana, sababu ya Neema ndio maana anatuacha hata pale tufanyapo uasi dhidi yake
Huyu shilole ana mtoto kweli?
Mkuu yule dogo anakimbizwa tu,maana Shilole mwenyewe Makombo ya Barnabas.Nuh mziwanda anakazi kinoma na huyo mama
Aaaah...Ni kweli nilijisahau tu...Zinaitwa nyonyo mkuu!
Mkuu yule dogo anakimbizwa tu,maana Shilole mwenyewe Makombo ya Barnabas.
Sasa kama Nuh akienda chumvini ajue kwamba Mwenzie Barnabas alikaanae kama mke kisha akaona majanga moja kwa moja akaenda kuoa zake.
Halafu lazima tukubali kwamba Shilole sio muimbaji,yaani yeye na Snura ni wale wale.Na muda wao wa kwenye Game ndio safari yake hiyoo.Maana naona wao na Kangamoja sioni tofauti.hawana jipya na watu wameishawachoka.
We tangu lini Bongo Movie au wengine huita Ngono Movie ikatoa mwanamke wa maana muimbaji.
Halafu huwa wakijohijwa kwenye Tv unawasikia mie namuomba sana mungu ndio maana nafanikiwa.
Halafu wengie wakienda huko Nje ya nchi ni kwamba wanapelekwa makasino tu.We ukumbi gani huo.Si bora hata kwa Macheni Bar.
Na mawakala kama kawaida yao hawakawii kuwauza kwa wapenda nyepe.
Sipati picha,maana anawatoto,sasa na tabia ya picha mnato ni kwamba mpaka dunia inafutika hazipotea na hata dunia ikipotea ni kwamba Siku ya kuitwa mbele ya Mungu utaonyeshwa picha balaa lako.Na zaidi watoto wake wataziona na yeye akiwa kizee wajukuu zake wataona Bibi yao alivyokuwa Mcharuko bin Mchepuko.
Halafu kwenye nyumba za Ibada watu kama hao kwa kupenda kukaa mbele,hahahahah yaani balaa