Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Waliosema Shilole ni Mchafu na ana UTI isiyokoma wao ndio wanayo

Wivu tu
 
Njaa hizi jamaa ukitizama sura yake hata hajiamini naona Shilole anawachezea vijaa uvulana wao sababu ya njaa zao.Sijui mabinti zake wa kike anawafundishaga nini na unaweza ukakuta kila kibenten chake kipya anawatambulisha.

Nilisikia Mocco Genius nae anatoka na mshangazi Nicole ,niliona juzi baada ya kuone video wapo Gym ndio ni kaamini vijana siku hizi wameamua kutoka na mishangazi,siku hizi hamna kujifichaficha Wamechoka na mizinga kutoka mabinti wa age yao.

Ila wakae wakijua tuu,mwanaume atakula kwa jasho watarukaruka ila,hawawezi kuikimbia asili yao na siku zote hela ya mwanamke haijawahi kuwa tamu na lazima watawaendesha na kuwanyanyasa.
Hata kubilingishana na furushi dizaini ya Shilole ni kula kwa jasho, hata tuliokuwa vijana miongo kadhaa iliyopita hayo yalikuwepo.
 
Sema Shilole enzi za ujana wake alikuwa chuma
 
Back
Top Bottom