Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Sema dogo naona kama muoga muoga, sidhani kama atamaliza msimu huyu😂 lazma abebeshwe virago mapema.
Amepewa kazi ya kusukuma huo mzigo mpaka lishangazi lichoke wakati dogo anategemea kiepe yai..ndiyo maana anahofu kama ataweza kutimiza hayo majukumu mapya
 
Kwa Mkia huo nafuata mimi asee🙌

Mjane akiwa na mkia mnene mashemeji hawachelewi kumzika mumewe - African proverbs.
 
Back
Top Bottom