Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Hii ni mutual benefit yule dogo namjua ni mbabaishaji hajaingia kichwakichwa yupo kimkakati,nikikwambia hilo tengo analofanya kazi utashangaa
Sasa Shishi akisoma hapa aweza kumtosa jamaa🙂
 
Shilole sijui anamfundisha nini Mwanaye? Kikubwa Vijana msikate tqma zamu yako itafika tu na wewe utamuoa
 
Hii ni mutual benefit yule dogo namjua ni mbabaishaji hajaingia kichwakichwa yupo kimkakati,nikikwambia hilo tengo analofanya kazi utashangaa
Hilo tego litaanza kumtegua yeye jamaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msanii Nguli na Mfanyabiashara mkubwa duniani wa vyakula. Shishi beibi amekamilisha usajili mpya kuelekea mwisho wa mwaka.

NB: Vijana! Uvumilivu ndio silaha kuelekea kufaidi matunda. Usikate tamaa zamu yako bado.

View attachment 3081534
Wanajf machawa wauawe..
Etiii msanii mkubwa na mfanyabiashara mkubwa duniani????
 
Back
Top Bottom