Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Maisha yanakwenda kasi Sana.....SHILOLE kutoka kuwa mtoto kipotabo mpaka kuwa CONTAINER.....
Hii wazee wa kazi wanaita abnormal wide load, lazima itembee na escort
1000012568-jpg.3082465
 

Attachments

  • 1000012568.jpg
    1000012568.jpg
    48.8 KB · Views: 13
Sema dogo naona kama muoga muoga, sidhani kama atamaliza msimu huyu😂 lazma abebeshwe virago mapema.
Sidhani kama ni uoga, ni aibu, kuwa na mwanamke aina ya huyo mama ni unadhalilika mbele ya kamera za waandishi maana watu wanajua upo hapo kufanya kazi moja tu na huna mamlaka zaidi ya kufanya anachohitaji huyo aliyekuletea waandishi.
 
Msanii Nguli na Mfanyabiashara mkubwa duniani wa vyakula. Shishi beibi amekamilisha usajili mpya kuelekea mwisho wa mwaka.

NB: Vijana! Uvumilivu ndio silaha kuelekea kufaidi matunda. Usikate tamaa zamu yako bado.

View attachment 3081534
Mjusi yupo juu ya gogo la mbuyu.Tufumbe macho tumuombee kijana dua njema!🙏😎
 
Back
Top Bottom