Shilole amchana Alikiba

Msanii ni 'bidhaa', hawatakiwi kuongea ongea hovyo, mameneja (wanaotafuta masoko) wao ndio wanatakiwa waongee. Msanii kuwa rahisi kuhojiwa vitu ambavyo sio vya msingi, vinamharibia soko lake.
 
Masson anachekelea muda huu zogo limehamia mtaa wa allminat alie kosea mashart. Tena huyo mama atamtia aibu sir allminat mwaribifu wa mpira.
 
 
Long Live the King, [emoji23][emoji23][emoji23]

Wengine waluga luga wa Sigimbi huko lakini hapa wanakaza vidole gumba "KIBA ANA DHARAU, HANA PESA, HAFIKI KOKOTE" lol,
Ulimuonea wapi wewe mshamba,

Bwana Mdogo yule hadi Kilimanjaro anapanda,
[emoji1][emoji28]
 
Yeah, MEDIOCRE is what he is and what he'll always be. Anaishi kwa kutegemea mipasho baada ya kuishiwa contents, hapo atakimbilia kutafuta jina la kumtunga Shilole kama muimba taarabu au atamtungia wimbo just to 'console' himself na fans wake 'watachekelea' coz he knows the thinking capacity of his hardcore fans.
 
Wewe una una akili za shake well before use, kama Ali alimwalika Shilole why akane hakumwalika? huu si ndio uboya wenyewe?
Hahahaha

"Shake well before use"

Ova
 
Dada yangu una moyo Sana japo asilimia kubwa wakimsagia kunguni alikiba ila wewe umeamua usimame na kiba
 
Kiki kajipa mwenyewe kumtaja Shishi kwa kebehi ilhali akijua Shishi ni talkative character na haogopi mtu yoyote hivyo lazima atajibu na ugonvi wao utatrend, ndiyo maana katoa video leo.
Hakuna unachojua kiba alitangaza kuachia video ya bwana mdogo muda mrefu tu, huyo muuza nyapu ndio kaona atembelee upepo wa kiba.
 
Hii ishu haitofautiani sana na ile ya diamond alipoenda kurekodi Nigeria ,Davido alimpeleka Diamond kwenye party ya P Square ,baada ya week P Square wanahojiwa kwamba mlijisikiaje kumwona diamond kwenye shughuli yenu akajibu simfahamu ,hata sikujua huyo mto alikwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…