Lakini new comers wanakuja na kumpiga overtake, hivyo kama thamani haishuki na pia haipandi. Ushahidi wa facts(numbers) unaonyesha Rayvanny na Harmonize wanamgalagaza kwenye maeneo mengi, watoto wa juzi.
Ana talent na ana diehard fans ambavyo ni mtaji mzuri sasa what he lacks ni connection kati yake na fans na ndiyo kinachomdumaza kagota hapo alipo hasongi mbele, vyote vinasababishwa na dharau pamoja na majivuno. Imagine angekuwa na mafanikio kama ya Diamond ya mpaka kufanya collaborations na American artists si wasanii wote wa Kibongo angewaona kama mavi.
Katoa album, Harmonize karibu atatoa na Diamond yuko mbioni hapo ndiyo utaona tofauti ya ukubwa wa kila msanii.
Showbiz industry si kulegeza sauti peke yake, ni kufanya investment za nguvu, kusukuma products(nyimbo) zako aggressively sokoni na kutengeneza obvious connection kwa msanii husika na fans kwani fans ndiyo humbeba artist.