Shilole amchana Alikiba

Ali Kiba hayuko hivyo mtakavyo,ndio maana haujawahi kusikia Ali Kiba anatamka mambo ya hovyo kwenye nyimbo au kutoa video ambayo Ina ukakasi na kukosa maadili!
King Kiba sio mtu wa drama na Kiki ili kupush mziki wake!Angalia hao wote uliowataja,wanaimba matusi,video zisizo na maadili na pia hawaishi skendo na show off!Na hapo ndipo wabongo wa kizazi hiki wanapokamatiwa!Mark my words,mziki wa Ali Kiba utaishi miaka mingi sana!Ni kwasababu unajitangaza wenyewe!
 
Shilole ni mkubwa kuliko Ali kiba kamzidi umaarufu na followers
Mama J amekuwa maarufu ndani ya muda mfupi sana pengine kuliko baadhi ya wasanii,tena angekuwa na account basi followers Kama wote,ndivyo wabongo walivyo!Wanapenda skendo,udaku na ngono!


 
Hakuna unachojua kiba alitangaza kuachia video ya bwana mdogo muda mrefu tu, huyo muuza nyapu ndio kaona atembelee upepo wa kiba.
Vitu alivipanga hata hiyo kiki aliipanga, haiwezekani mtu umwalike na kwenye acc yako BINAFSI ya instagram umpost, then siku moja kabla ya kutoa video unaenda kuongea kwamba huKumwalika ,halafu kesho yake unaachia VIDEO. Alichokuwa anakifanya alikuwa anakijua so hiyo ni KIKI.
 
Reactions: Qwy
Ukiangalia wengi wanaomdiss Ali sio kwa kazi zake ila ni kutokana na mambo binafsi ie mbinafsi, anaringa, mshamba etc tofauti na hao anaolinganishwa nao wao kuanzia kazi zao mpaka mambo yao binafsi yana walakini sema tu wabongo tuna matatizo sana nadhani zaidi ni afya ya akili 🤣🤣
 
Kiba ni mtu wa kiki na drama sana tu kwa style yake tofauti, dharau na majivuno ndiyo vinapoteza connection kati yake na fans.
Alidharau sana collaborations za artists wa Nigeria back in the days lakini baada ya kugundua hiyo inawafanya wengine kukua zaidi internationally sasa anaimba mpaka Ndombolo, tukianza kutafuta nyimbo za kuweza kudumu kwa miaka mingi hao madogo wengine wanazo nyingi tu na kwa Kiba labda uzitafute kwa tochi japo ni kweli hao madogo wana baadhi ya nyimbo ambazo mashairi yake ni vulgar sana.
 
Back then ni kweli hawakuwa wakimfahamu hata managers wake waliliongea hilo, wao waling'ang'ania kuwepo pale ili wapate connections.
Hata Salaam alifanya 'stupid' scene ili uwepo wao uwe noticed, strategy ambayo ilikuja kuzaa matunda.
 
Hao malaya wa diamond wanatumika kutukana kiba.
Ila wanahangaika tu,jitu lenyewe malaya
 
Hao malaya wa diamond wanatumika kutukana kiba.
Ila wanahangaika tu,jitu lenyewe malaya
Wote ni wale wale tu, hiyo bwege naye kila mtoto na mama yake. Kwenye umalaya wasanii asilimia kubwa wako kwenye kapu moja.
 
Hata wewe unapenda ngono maana ni hitaji muhimu la mwili
 
Chokochoko ameanzisha Kiba au Shilole?
 
Tanzania vituko vya wasanii havitaisha. Hasa ukizingatia kila mmoja anatafuta kiki.
 
Tunajua mnamtaka kutuondoa kwenye reli kumbukeni November 5 konde boy ana jambo lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…