Shilole amchana Alikiba

Shilole amchana Alikiba

Kinachomuuma Shilole alimtombea chooni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Unasemaaaaa
240d642642384ad091fd0ac1ac1bf924.jpg
 
Lakini new comers wanakuja na kumpiga overtake, hivyo kama thamani haishuki na pia haipandi. Ushahidi wa facts(numbers) unaonyesha Rayvanny na Harmonize wanamgalagaza kwenye maeneo mengi, watoto wa juzi.
Ana talent na ana diehard fans ambavyo ni mtaji mzuri sasa what he lacks ni connection kati yake na fans na ndiyo kinachomdumaza kagota hapo alipo hasongi mbele, vyote vinasababishwa na dharau pamoja na majivuno. Imagine angekuwa na mafanikio kama ya Diamond ya mpaka kufanya collaborations na American artists si wasanii wote wa Kibongo angewaona kama mavi.
Katoa album, Harmonize karibu atatoa na Diamond yuko mbioni hapo ndiyo utaona tofauti ya ukubwa wa kila msanii.
Showbiz industry si kulegeza sauti peke yake, ni kufanya investment za nguvu, kusukuma products(nyimbo) zako aggressively sokoni na kutengeneza obvious connection kwa msanii husika na fans kwani fans ndiyo humbeba artist.
Ali Kiba hayuko hivyo mtakavyo,ndio maana haujawahi kusikia Ali Kiba anatamka mambo ya hovyo kwenye nyimbo au kutoa video ambayo Ina ukakasi na kukosa maadili!
King Kiba sio mtu wa drama na Kiki ili kupush mziki wake!Angalia hao wote uliowataja,wanaimba matusi,video zisizo na maadili na pia hawaishi skendo na show off!Na hapo ndipo wabongo wa kizazi hiki wanapokamatiwa!Mark my words,mziki wa Ali Kiba utaishi miaka mingi sana!Ni kwasababu unajitangaza wenyewe!
 
Shilole ni mkubwa kuliko Ali kiba kamzidi umaarufu na followers
Mama J amekuwa maarufu ndani ya muda mfupi sana pengine kuliko baadhi ya wasanii,tena angekuwa na account basi followers Kama wote,ndivyo wabongo walivyo!Wanapenda skendo,udaku na ngono!

Hakuna unachojua kiba alitangaza kuachia video ya bwana mdogo muda mrefu tu, huyo muuza nyapu ndio kaona atembelee upepo wa kiba.
Vitu alivipanga hata hiyo kiki aliipanga, haiwezekani mtu umwalike na kwenye acc yako BINAFSI ya instagram umpost, then siku moja kabla ya kutoa video unaenda kuongea kwamba huKumwalika ,halafu kesho yake unaachia VIDEO. Alichokuwa anakifanya alikuwa anakijua so hiyo ni KIKI.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ukiangalia wengi wanaomdiss Ali sio kwa kazi zake ila ni kutokana na mambo binafsi ie mbinafsi, anaringa, mshamba etc tofauti na hao anaolinganishwa nao wao kuanzia kazi zao mpaka mambo yao binafsi yana walakini sema tu wabongo tuna matatizo sana nadhani zaidi ni afya ya akili 🤣🤣
 
Ali Kiba hayuko hivyo mtakavyo,ndio maana haujawahi kusikia Ali Kiba anatamka mambo ya hovyo kwenye nyimbo au kutoa video ambayo Ina ukakasi na kukosa maadili!
King Kiba sio mtu wa drama na Kiki ili kupush mziki wake!Angalia hao wote uliowataja,wanaimba matusi,video zisizo na maadili na pia hawaishi skendo na show off!Na hapo ndipo wabongo wa kizazi hiki wanapokamatiwa!Mark my words,mziki wa Ali Kiba utaishi miaka mingi sana!Ni kwasababu unajitangaza wenyewe!
Kiba ni mtu wa kiki na drama sana tu kwa style yake tofauti, dharau na majivuno ndiyo vinapoteza connection kati yake na fans.
Alidharau sana collaborations za artists wa Nigeria back in the days lakini baada ya kugundua hiyo inawafanya wengine kukua zaidi internationally sasa anaimba mpaka Ndombolo, tukianza kutafuta nyimbo za kuweza kudumu kwa miaka mingi hao madogo wengine wanazo nyingi tu na kwa Kiba labda uzitafute kwa tochi japo ni kweli hao madogo wana baadhi ya nyimbo ambazo mashairi yake ni vulgar sana.
IMG_20211030_093547.jpg
 
Hii ishu haitofautiani sana na ile ya diamond alipoenda kurekodi Nigeria ,Davido alimpeleka Diamond kwenye party ya P Square ,baada ya week P Square wanahojiwa kwamba mlijisikiaje kumwona diamond kwenye shughuli yenu akajibu simfahamu ,hata sikujua huyo mto alikwepo
Back then ni kweli hawakuwa wakimfahamu hata managers wake waliliongea hilo, wao waling'ang'ania kuwepo pale ili wapate connections.
Hata Salaam alifanya 'stupid' scene ili uwepo wao uwe noticed, strategy ambayo ilikuja kuzaa matunda.
 
Hao malaya wa diamond wanatumika kutukana kiba.
Ila wanahangaika tu,jitu lenyewe malaya
 
Hao malaya wa diamond wanatumika kutukana kiba.
Ila wanahangaika tu,jitu lenyewe malaya
Wote ni wale wale tu, hiyo bwege naye kila mtoto na mama yake. Kwenye umalaya wasanii asilimia kubwa wako kwenye kapu moja.
 
Mama J amekuwa maarufu ndani ya muda mfupi sana pengine kuliko baadhi ya wasanii,tena angekuwa na account basi followers Kama wote,ndivyo wabongo walivyo!Wanapenda skendo,udaku na ngono!

Hata wewe unapenda ngono maana ni hitaji muhimu la mwili
 
Kiba ni mtu wa kiki na drama sana tu kwa style yake tofauti, dharau na majivuno ndiyo vinapoteza connection kati yake na fans.
Alidharau sana collaborations za artists wa Nigeria back in the days lakini baada ya kugundua hiyo inawafanya wengine kukua zaidi internationally sasa anaimba mpaka Ndombolo, tukianza kutafuta nyimbo za kuweza kudumu kwa miaka mingi hao madogo wengine wanazo nyingi tu na kwa Kiba labda uzitafute kwa tochi japo ni kweli hao madogo wana baadhi ya nyimbo ambazo mashairi yake ni vulgar sana. View attachment 1991716
Chokochoko ameanzisha Kiba au Shilole?
 
Tanzania vituko vya wasanii havitaisha. Hasa ukizingatia kila mmoja anatafuta kiki.
 
Tunajua mnamtaka kutuondoa kwenye reli kumbukeni November 5 konde boy ana jambo lake
 
Back
Top Bottom