karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
UnasemaaaaaKinachomuuma Shilole alimtombea chooni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnasemaaaaaKinachomuuma Shilole alimtombea chooni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Atakwambia hao follower's ni fake tu etiMpinge kwa facts, followers ni moja ya kigezo cha popularity ya mtu husika. Wale followers ni watu na si mbuzi.
Amedumaa kimziki Hadi madogo kina rayvan na zuchu Wana mpiga gap amebaki kujiita tu kingKiba amepungukiwa nini?
Kiba karudi nyuma Sana ndio maana sasa hiv nyimbo zake azifanyi vizuri kama zamaniAmedumaa kimziki Hadi madogo kina rayvan na zuchu Wana mpiga gap amebaki kujiita tu king
Ali Kiba hayuko hivyo mtakavyo,ndio maana haujawahi kusikia Ali Kiba anatamka mambo ya hovyo kwenye nyimbo au kutoa video ambayo Ina ukakasi na kukosa maadili!Lakini new comers wanakuja na kumpiga overtake, hivyo kama thamani haishuki na pia haipandi. Ushahidi wa facts(numbers) unaonyesha Rayvanny na Harmonize wanamgalagaza kwenye maeneo mengi, watoto wa juzi.
Ana talent na ana diehard fans ambavyo ni mtaji mzuri sasa what he lacks ni connection kati yake na fans na ndiyo kinachomdumaza kagota hapo alipo hasongi mbele, vyote vinasababishwa na dharau pamoja na majivuno. Imagine angekuwa na mafanikio kama ya Diamond ya mpaka kufanya collaborations na American artists si wasanii wote wa Kibongo angewaona kama mavi.
Katoa album, Harmonize karibu atatoa na Diamond yuko mbioni hapo ndiyo utaona tofauti ya ukubwa wa kila msanii.
Showbiz industry si kulegeza sauti peke yake, ni kufanya investment za nguvu, kusukuma products(nyimbo) zako aggressively sokoni na kutengeneza obvious connection kwa msanii husika na fans kwani fans ndiyo humbeba artist.
Mama J amekuwa maarufu ndani ya muda mfupi sana pengine kuliko baadhi ya wasanii,tena angekuwa na account basi followers Kama wote,ndivyo wabongo walivyo!Wanapenda skendo,udaku na ngono!Shilole ni mkubwa kuliko Ali kiba kamzidi umaarufu na followers
Vitu alivipanga hata hiyo kiki aliipanga, haiwezekani mtu umwalike na kwenye acc yako BINAFSI ya instagram umpost, then siku moja kabla ya kutoa video unaenda kuongea kwamba huKumwalika ,halafu kesho yake unaachia VIDEO. Alichokuwa anakifanya alikuwa anakijua so hiyo ni KIKI.Hakuna unachojua kiba alitangaza kuachia video ya bwana mdogo muda mrefu tu, huyo muuza nyapu ndio kaona atembelee upepo wa kiba.
Kiba ni mtu wa kiki na drama sana tu kwa style yake tofauti, dharau na majivuno ndiyo vinapoteza connection kati yake na fans.Ali Kiba hayuko hivyo mtakavyo,ndio maana haujawahi kusikia Ali Kiba anatamka mambo ya hovyo kwenye nyimbo au kutoa video ambayo Ina ukakasi na kukosa maadili!
King Kiba sio mtu wa drama na Kiki ili kupush mziki wake!Angalia hao wote uliowataja,wanaimba matusi,video zisizo na maadili na pia hawaishi skendo na show off!Na hapo ndipo wabongo wa kizazi hiki wanapokamatiwa!Mark my words,mziki wa Ali Kiba utaishi miaka mingi sana!Ni kwasababu unajitangaza wenyewe!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Atakwambia hao follower's ni fake tu eti
.Hakuna unachojua kiba alitangaza kuachia video ya bwana mdogo muda mrefu tu, huyo muuza nyapu ndio kaona atembelee upepo wa kiba.
Back then ni kweli hawakuwa wakimfahamu hata managers wake waliliongea hilo, wao waling'ang'ania kuwepo pale ili wapate connections.Hii ishu haitofautiani sana na ile ya diamond alipoenda kurekodi Nigeria ,Davido alimpeleka Diamond kwenye party ya P Square ,baada ya week P Square wanahojiwa kwamba mlijisikiaje kumwona diamond kwenye shughuli yenu akajibu simfahamu ,hata sikujua huyo mto alikwepo
Wote ni wale wale tu, hiyo bwege naye kila mtoto na mama yake. Kwenye umalaya wasanii asilimia kubwa wako kwenye kapu moja.Hao malaya wa diamond wanatumika kutukana kiba.
Ila wanahangaika tu,jitu lenyewe malaya
Hata wewe unapenda ngono maana ni hitaji muhimu la mwiliMama J amekuwa maarufu ndani ya muda mfupi sana pengine kuliko baadhi ya wasanii,tena angekuwa na account basi followers Kama wote,ndivyo wabongo walivyo!Wanapenda skendo,udaku na ngono!
Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji
Dada yetu Shishi Beibe aamua kuonyesha minyonyo yake baada ya show kubuma Ubelgiji. Ushauri kwa wasanii wetu muziki wetu bado sana nje ya Africa kazeni kwanza hapa huko Ulaya na America hebu waachieni kwanza kina JAy Z na wengineo wenye ubavu la sivyo kuna siku mtacheza uchi kabisa jukwaani ili...www.jamiiforums.com
Chokochoko ameanzisha Kiba au Shilole?Kiba ni mtu wa kiki na drama sana tu kwa style yake tofauti, dharau na majivuno ndiyo vinapoteza connection kati yake na fans.
Alidharau sana collaborations za artists wa Nigeria back in the days lakini baada ya kugundua hiyo inawafanya wengine kukua zaidi internationally sasa anaimba mpaka Ndombolo, tukianza kutafuta nyimbo za kuweza kudumu kwa miaka mingi hao madogo wengine wanazo nyingi tu na kwa Kiba labda uzitafute kwa tochi japo ni kweli hao madogo wana baadhi ya nyimbo ambazo mashairi yake ni vulgar sana. View attachment 1991716
si ungeandika kiswahili tu mkuuWhat is this?!! Don't you young men and women have something better to do!?insteady of westing time on this personal none monetary issues.
Akiandika kiswahili utajuwaje kama na yeye ni msomi?si ungeandika kiswahili tu mkuu