Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

Kuna mambo mawili huwa nafind veeeeeery beautiful...
Mwanamke anayethamini elimu kwa watoto wake na mtoto anayethamini wazazi wake
Naomba nikawe aina hii ya mzazi hapo baadae kwa watoto wangu

Hongera sana kwake Shilole na wazazi wote wanapambania watoto wao
 
Ni siku mbaya sana kwa Kajala. Yaani kila inapotokea mtoto wa staa kufanya jambo jema lazima Kajala na bintiye watukanwe mitandaoni. Nawaonea huruma
Tatzo la watz wanataka kila mtoto wa staa awe na malezi mazuri wakati na wao ni sehemu ya jamii tu km sisi wanazalisha vmeo na wanaojitambua km ilivyo kwetu
 
Hii nayo ni habari?
Hivi tumelogwa na nani?
Huyu naye wa kumpa promo kiasi hiki?
JF imekuwa hivi siku hizi?
Mtoa mada naye mweh!
Safari bado ni ndefu kama Taifa
Wasanii hawa ndio ngoja ninyamaze
Ila mnakera
 
Back
Top Bottom