Acha uchawi Mkuu. Hiyo hiyo HKL kuna watu wanafeli.Usikute div 1 yenyewe ya HKL
Bullshit.Kupata one Sio kuwa na akili bali inategemea siku ya mtihani uliamkaje
Tatzo la watz wanataka kila mtoto wa staa awe na malezi mazuri wakati na wao ni sehemu ya jamii tu km sisi wanazalisha vmeo na wanaojitambua km ilivyo kwetuNi siku mbaya sana kwa Kajala. Yaani kila inapotokea mtoto wa staa kufanya jambo jema lazima Kajala na bintiye watukanwe mitandaoni. Nawaonea huruma
Mzazi wako angekuwa mbongo movie tungemuibukia kumuhoji tuMbona ata sisi tulipata tena zaidi yake na wazazi wetu hawashandilii huo ni ushamba tu
Yapo kwenye mtaala hayo masomo kiongozi.Usikute div 1 yenyewe ya HKL
Kama ada ya shule za kibongo tu aliuza hadi thamani zake za ndani mixer kujirisk hadi yeye mwenyewe🤔Canada.
Mama la saba B wacha ajimwambafai na division one ya saba ya mtotoHii nayo ni habari?
Hivi tumelogwa na nani?
Huyu naye wa kumpa promo kiasi hiki?
JF imekuwa hivi siku hizi?
Mtoa mada naye mweh!
Safari bado ni ndefu kama Taifa
Wasanii hawa ndio ngoja ninyamaze
Ila mnakera
Mtihani Sio kipimo sahihi Cha uelewa wa mwanafunziBullshit.
Hapo sawa. Lakini ukisema eti mtihani inategemea mwanafunzi kaamkaje nitakupinga. Kama hakusoma hata aamke vipi hawezi kufaulu.Mtihani Sio kipimo sahihi Cha uelewa wa mwanafunzi
Vijana mnamzalisha, halafu baadaye mnakuja kumtukana hapa singo maza hawafai.Mchumba wetu wa baadae huyo