Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

Kama ukipata binti anaye jituma kusoma shukuru Mungu, siku hizi wadogo zetu wa kike marole model wa ni wale wanotrend na kujiuza mtaandaoni aka wadangaji ambao wanaamini mafanikio watayapata kwa kugawa papuchi.
 
Usikute div 1 yenyewe ya HKL
Wacha dharau bro hizo 1 za HKL ndo zimetufanya wengine leo hii tunaheshimika makazini mwetu, tunaendesha vitengo, tunaheshimika katika jamii zetu, zimetupa exposure ndani na nje ya nchi na kubwa tunazilea familia zetu kwa kuzipatiaa mahitaji yote muhimu...kwa hiyo, kaa kwa kutulia maisha ni kuchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…