KITU pekeee itamfanya Paula na Kajala wapone katika hizi lawama ni kuhakikishaNi siku mbaya sana kwa Kajala. Yaani kila inapotokea mtoto wa staa kufanya jambo jema lazima Kajala na bintiye watukanwe mitandaoni. Nawaonea huruma
KwakweliAcha wivu
Mi nimeisoma kama nadaca...🤣Canada.
Ni kweli. Kama wameamua kuwa malaya wahakikishe wanakuwa malaya wa kupigiwa mfano kwenye tasnia ya umalaya.. wasifanye nusunusu. Watapiga hela kama kina Kardashian. Kuwa vuguvugu itazidi kuwatesa. Waamue moja.KITU pekeee itamfanya Paula na Kajala wapone katika hizi lawama ni kuhakikisha
huko walipopachagua basi wanavunja record ila wakiendelea na ufanyaji kazi wa mazoea
tyari wanajiona washakua mastaa na reality zao uchwara,wataoga matusi ujanani mpk uzeeni
Hapa nampa kongole sana hakika anawaza vyema.akasome biashara ili aje amsaidie kuendesha ofisi zake
Hio dvn 1 inayopigiwa kelele ni ya combination gani
Yeye mwanae karithi kazi zake...mtoto hupewa elimuNi siku mbaya sana kwa Kajala. Yaani kila inapotokea mtoto wa staa kufanya jambo jema lazima Kajala na bintiye watukanwe mitandaoni. Nawaonea huruma
Uchawi huu sasa.Hakuna haja ya kupiga yowe..div 1 Advance sio kitu cha ajabu hivyo,mpaka vilaza wanapata!
Kwahiyo hoja yako ni nini? Watoto waishie la saba au wapate division four ndio watakuwa wa maana?Tuseme ukweli tu, hizi division one za siku hizi ni upuuzi mtupu, kwani haiwezi kukupa ajira. One zenyewe hazina shangwe kama zamani mpaka rais atataka akufahamu wewe ni nani na una akili gani kuzidi wenzako. Siku hizi shule moja tu inapata one kama zote. Utatambia wapi kama si kuwa matangazo ya biashara shule kuvutia wazazi wapeleke watoto wao pale? One za zamani unaweza kuvushwa madarasa na kupelekwa kozi fasta uajiriwe. Siku hizi utadoda na one mitaani huku wa la saba akikucheka na kukukejeli huna hela na yeye wa la saba ana miradi mingi ya kumuingizia fedha
Tuseme ukweli tu, hizi division one za siku hizi ni upuuzi mtupu, kwani haiwezi kukupa ajira. One zenyewe hazina shangwe kama zamani mpaka rais atataka akufahamu wewe ni nani na una akili gani kuzidi wenzako. Siku hizi shule moja tu inapata one kama zote. Utatambia wapi kama si kuwa matangazo ya biashara shule kuvutia wazazi wapeleke watoto wao pale? One za zamani unaweza kuvushwa madarasa na kupelekwa kozi fasta uajiriwe. Siku hizi utadoda na one mitaani huku wa la saba akikucheka na kukukejeli huna hela na yeye wa la saba ana miradi mingi ya kumuingizia fedha
Anavuna alichopanda!!Ni siku mbaya sana kwa Kajala. Yaani kila inapotokea mtoto wa staa kufanya jambo jema lazima Kajala na bintiye watukanwe mitandaoni. Nawaonea huruma
Hyo HKL wapo wanaopata zeroUsikute div 1 yenyewe ya HKL
Nakuona T.OHakuna haja ya kupiga yowe..div 1 Advance sio kitu cha ajabu hivyo,mpaka vilaza wanapata!
.Sina muda wa kubishana na mtoto wa juzi, nataka kubishana na wakongwe wa mambo ya elimu ndio tutaelewanaUmeandika utumbo mtupu. Lini Rais alionana na waliopata "one"? Tangu lini "one" ikakupa ajira bila kwenda chuo? Lini na wapi aliyepata "one" alivushwa darasa?
Una ukongwe gani? Ulichoandika hapo ni upuuzi mtupu na hujui lolote..Sina muda wa kubishana na mtoto wa juzi, nataka kubishana na wakongwe wa mambo ya elimu ndio tutaelewana
we ni mmojawapo wa watukanaji wehu wasiojua kujenga na kuvunja hoja ki weledi. Unajua zamani mwanafunzi akipata one tanzania nzima mtamjua anatoka shule gani? Watu walikuwa wanapata A masomo yote mpaka option halafu wakubwa wanakuchagulia uende kusomea nini licha ya wewe kuwa una mchepuo gani unaoupenda. Kanuni za uandishi zinanibana siwezi kutaja majina na shule zilizotoa tanzania one enzi hizo. Usilete ubishi kutukana wakunga uzazi ungalipoUna ukongwe gani? Ulichoandika hapo ni upuuzi mtupu na hujui lolote.