Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
unakaa naye mtaa mmoja?Kwa sisi tunaomjua Shishi na Uchebe kipigo imekuwa kawaida Yao. Tena huwa anachakazwa kweli kweli.
Ila this is too much.
By the way Kunguru hafugiki. Shishi ni muhuni tu.
vipi na wewe huwa unatembeza kipigo?Watu mnaongea tu humu...ila kuna mambo wanafanya wanawake kwenye ndoa yanakera sana na bila kipigo muda mngine hawaendi....
Mimi naweza kuwa mbachao bora kwako.....Usiache mbachao kwa mswala upitao
Jamaa ni Gaddafi amepiga hela!!!Mwanamke hapigwi mangumi wala mateke mkuu. Mwanamke anauchezea tu mtalimbo akili itamjaa tu mdogo mdogo
Uchebe kazingua
Hahahahaha! Kampa amba kati ya kushtukiza mpaka dada wa watu akatoa supu.Uchebe kambutua mtia nia... Hahaha uchebe kanifurahisha sana na mashambulizi yake ya kustukiza...
Natamani ajongee pale Kisarawe akamlipizie DAS mtumbuliwa....
Mtumbuliwa angekuwa anafanya masumbwi ya kustukiza labda asingetumbuliwa...
~ Mwanamke anabakia kuwa mdogo mbele ya mwanaume hata kama analingana na nyumba ya magogoni...Huwa nawapima utoto wanawake kwa utani tu...hata kama ni MTU mzima,anaelekea kibla tofauti na wanaume.Wanawake bana... Mbona aliyempiga anaonekana mdogo kuliko yeye?
Ha ha ha wazee wa ulimbombo na ulindi hao😂😂Uchebe mtata sana..
Yani anamtandika mwenzie akiwa kalala fofofo..halafu za uso.