Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

~ poleni sana kwa kipigo cha mumbwa mwizi.....mwanamke hapigwi....anapigwa na kipande cha kanga bwana!!!
 
Siungi mkono kudundwa hata hivyo angeweka wazi kwanini kadundwa. Hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mke mtiifu.
 
Uchebe kambutua mtia nia... Hahaha uchebe kanifurahisha sana na mashambulizi yake ya kustukiza...

Natamani ajongee pale Kisarawe akamlipizie DAS mtumbuliwa....

Mtumbuliwa angekuwa anafanya masumbwi ya kustukiza labda asingetumbuliwa...
Hahahahaha! Kampa amba kati ya kushtukiza mpaka dada wa watu akatoa supu.
Noma sana
 
Wanawake bana... Mbona aliyempiga anaonekana mdogo kuliko yeye?
~ Mwanamke anabakia kuwa mdogo mbele ya mwanaume hata kama analingana na nyumba ya magogoni...Huwa nawapima utoto wanawake kwa utani tu...hata kama ni MTU mzima,anaelekea kibla tofauti na wanaume.
 
Lazima itakuwa wivu wa mapenzi, labda Uche anavyomla Buza kwa mpalange, na kuna mwingine anamgongea Buza kiboga. Hapo ndoa kama haijafa, utashangaa heshima inazidi, ila wanaume mario kama Uchebe nao mijinga sana, unalelewa na mwanamke lazima utadharauliwa sana tu.
 
Hii Bongo movie tu,utashangaa wamerudiana tu.........simtetei Uchebe ila watu wamesikiliza upande mmoja na kuhukumu,tusubilie Uchebe naye aje aseme nini kilitokea.....mnamuonea huruma shishi baadaye mnaweza kumgeuka, Uchebe akisema ya moyoni
 
Back
Top Bottom