Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Aisee! Hivi mwanaume uliyekamilika unapataje nguvu za kumpiga mtoto wa kike namna hii???
Jomba, usisema kirahisi, na ni kwa sababu haliko kwako, mpaka mwanaume anafikia hatua ya kumpiga mwanamke ujue alishatumia mdomo kuonya na hakusikilizwa, wanawake type ya huyo Shilole hakuna namna yeyote ya kumrekebisha zaidi ya kipigo, wanawake type hiyo wakishakuwa na vijihela anataka wewe mwanamme uwe kama kondoo kwake ndio mtaelewana, mwanamke akishakuwa na uwezo wa kutengeneza hela zake yeye mwenyewe hakuna namna anaweza kuwa na adabu kwa mumewe, (mimi ni muhanga wa hilo, sijasimuliwa), kwa hiyo ni vema ukaelewa ni mazingira ndio yanapelekea mwanaume kutumia kipigo ili kutafuta namna ya kuzibua masikoo ya mwanamke type ya Shilole, hapo alistahili kabisa kupata kipigo hicho huyo mwanamke maana hakunaga jinsi wala njia nyingine.
 
Kama ndio hivyo kwa nini asubiri mwanamke akiwa amelala?
Amesema ni muendelezo wa vipigo.Means kuna vingine alipewa huku jicho kavu linaona.
Alimuonea Nuhu akijigamba hapelekeshwi anatoa kichapo tu sasa kakutana na mtu mwenye mkanda wake.
 
Hayajakukuta mzee usiseme hvyo hujui alichokifanya huyo na huenda ukikifahamu unaweza kusema kwann asingemvunja ata mkono. Hawa wanawake hawa nadhan waliooa au wanaoishi na wanawake kwa mda mrefu watakuwa wananielewa
Mkuu mimi mimekuelewa, huyo mla bata anaonekana ni wale wanaooa saa 5 usiku na kuachana saa 12 asubuhi, na hii ni kawaida, mwanamke ukiwa nae muda mfupi hawezi kukubishia wala kukuonesha dharau yeyote ile
 
Ukijua password ya mwanamke wako hakusumbui.Watarudiana tu UCHEBE ana password yake na shilole atakuwa anajua hilo kwa hapo hachomoki atarudi mwenyewe ile kitu tamu bwana .Upendo sio Tamu sana hs ha ha ha
 
Haya yamemtokea mwanamama Shilole .
Mimi binafisi nimependezwa na jambo hili na nimeamua kushare na nyinyi ndugu zangu wanaume.

Mwanaume kumuoa mwanamke aliyekuzidi kipato ndiyo matokeo yake haya jamani ,hawa viumbe wakipata vijisenti ndani ya ndoa kunakuwa kama Club za Simba na yanga.

Kiukweli kwa namna moja au nyingine wanaume tunanyanyaswa Sana ndani ya ndoa zetu Mimi ni mmoja wapo .

Mimi binafisi najuta kuoa mwanamke msomi na mwenye mshahara wake jamani semina haziishi kwa huyu mama ,ninavyoandika huu ujumbe muda huu nipo kwenye hatua ya mwisho kumfanyia kama Uchebe alichomfanyia Shilole.

Wanawake mna nini lakini nyie viumbe jamani?

Kuna muda naweza kutoka kazini nikakuta mke wangu anajiandaa kutoka na hakunijulisha nikimuuliza utasikia kuna part ya Ofisi sijui Nani anafanya nn basi naishia kujikalia kimya .

Basi ndugu yetu Uchebe kuna watakao mlaumu mara mashirika ya haki za wa mama lakini na sisi wanaume nani atatutetea kwenye ulimwengu huu wa Malkia wa nguvu kila media kuna kipindi cha kuongelea masuala ya wanawake na haki zao sisi je?

Wanaume wengi tunakufa na tai shingoni.

Moderator ..Naomba msiufute huu uzi tuacheni wanaume tujadili hili kwa Uhuru View attachment 1501113View attachment 1501114
 
sidhani.kuna ndoa nyingi tu za masikini ambazo wanaishi happy life na kuheshimiana.
 
Uboho ni nini?
 
Lakini pia Shilole alikua anampiga mpenzi wa zamani yule dogo nuhu mziwanda
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lakini pia Shilole alikua anampiga mpenzi wa zamani yule dogo nuhu mziwanda
Mkuu soma hapa [emoji116][emoji116]
 
Sio wanawake tu hata wanaume huambulia kipigo tena cha uhakika.Nenda kaoe mkoa wa Mara halafu jifanye wewe kidume una dharau uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…