Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Msingi kiuno
 
Inanikumbusha episode moja ya keeping up with the kardashians. Kanye alikuwa kwenye episode zake psychological issues akamwambia Kim gauni ulilovaa linaonyesha sehemu kubwa mwili wako, akajibiwa kabla ya kunioa ulinikuta na vaa hivi hivi iweje leo uone ujabu.

Ndio Uchebe sasa wewe unajifanya mcha mungu mwanamke umemkuta anaenda bar, msanii, mfanyabiashara; huyo awezi kushinda nyumbani kama unavyotaka ana life style yake umemkuta nayo kibaya zaidi hayo maisha usiyoyapenda ndio sehemu ya kupata mkate wake.
 
Wanaume hatusalitian.

Yani wanaume tuko ndani sebuleni tunazungumzia hili suala na tulimalize wewe uko na wanawake nje kwenye mikeka unamtetea mwanamke.


Shwain wewe.
🤣🤣🤣🤣 jamaa anasaliti kambi
 
kweli mkuu wanawake wenye kipato ni tatizo kubwa aiseee yaan ni shida
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].heshima ikarudi hahaaaa vipi baada ya kupatana alitoa maoni gani kuhusu kipigo chako
 
Ndio maana hujamuoa wew , why watu mnapenda kujudge lifestyle aliyochagua mwenzio Tena ambayo haikuhusu !!?
By all means huna haki juu ya mwili au maisha ya mtu
 
Weird. Mshkaji wakati huo tunaingia gym alikua ana ile busara ya kiislamu. Yaani alikua akiongea kitu reference ni Quran.

Anyway mshkaji ana mazoezi ya boxing pia, sioni kwanini ameamua kumpiga mwanamke ngumi za mtindo huo.

Siku zote hua sisapoti abusive relationship so hata alichofanya mshkaji sikisapoti.

Kwa mbali Nuh atafurahi (kama ana tabia ya kumuombea mabaya ex wake) ila hii ni wiki chache tangu binti auawe na mumewe.

Jamii tujifunze na kujua kama tupo kwenye abusive relationship ama la.
 
Baba levo uko wapi mpaka bestio anakula kipigo ivoo.....??🤣4🤣🤣
 
Sikushauri kabisa umguse.. Yakikufika kabisa chukua begi lako uchape lapa.. Jione ulikuwa chuo na umehitimu mahusiano ya kuzidiwa kipato

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…