Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shida ya vijana wanapendaga Kitonga aka Clutch ndo mana wanaishia kuoa madada ya mjini ili walelewe na kupigishwa pamba. Sasa hawa madada kama kina Shilole ni pressure tupu hawawezi kutulia lazima akale vichwa ili maisha yenu yaende. Ukiona hivyo unataka eti umpige um control. NEVER
Msingi kiuno
 
Inanikumbusha episode moja ya keeping up with the kardashians. Kanye alikuwa kwenye episode zake psychological issues akamwambia Kim gauni ulilovaa linaonyesha sehemu kubwa mwili wako, akajibiwa kabla ya kunioa ulinikuta na vaa hivi hivi iweje leo uone ujabu.

Ndio Uchebe sasa wewe unajifanya mcha mungu mwanamke umemkuta anaenda bar, msanii, mfanyabiashara; huyo awezi kushinda nyumbani kama unavyotaka ana life style yake umemkuta nayo kibaya zaidi hayo maisha usiyoyapenda ndio sehemu ya kupata mkate wake.
 
Wanaume hatusalitian.

Yani wanaume tuko ndani sebuleni tunazungumzia hili suala na tulimalize wewe uko na wanawake nje kwenye mikeka unamtetea mwanamke.

Shwain wewe.
🤣🤣🤣🤣 jamaa anasaliti kambi
 
Haya yamemtokea mwanamama Shilole .
Mimi binafisi nimependezwa na jambo hili na nimeamua kushare na nyinyi ndugu zangu wanaume.

Mwanaume kumuoa mwanamke aliyekuzidi kipato ndiyo matokeo yake haya jamani ,hawa viumbe wakipata vijisenti ndani ya ndoa kunakuwa kama Club za Simba na yanga.

Kiukweli kwa namna moja au nyingine wanaume tunanyanyaswa Sana ndani ya ndoa zetu Mimi ni mmoja wapo .

Mimi binafisi najuta kuoa mwanamke msomi na mwenye mshahara wake jamani semina haziishi kwa huyu mama ,ninavyoandika huu ujumbe muda huu nipo kwenye hatua ya mwisho kumfanyia kama Uchebe alichomfanyia Shilole.

Wanawake mna nini lakini nyie viumbe jamani?

Kuna muda naweza kutoka kazini nikakuta mke wangu anajiandaa kutoka na hakunijulisha nikimuuliza utasikia kuna part ya Ofisi sijui Nani anafanya nn basi naishia kujikalia kimya .

Basi ndugu yetu Uchebe kuna watakao mlaumu mara mashirika ya haki za wa mama lakini na sisi wanaume nani atatutetea kwenye ulimwengu huu wa Malkia wa nguvu kila media kuna kipindi cha kuongelea masuala ya wanawake na haki zao sisi je?

Wanaume wengi tunakufa na tai shingoni.

Moderator ..Naomba msiufute huu uzi tuacheni wanaume tujadili hili kwa Uhuru View attachment 1501113View attachment 1501114View attachment 1501115
kweli mkuu wanawake wenye kipato ni tatizo kubwa aiseee yaan ni shida
 
nimekuelewa sana.hata mimi niliishi na mke kwa miaka kumi na sikuwahi kumpiga ingawa alikuwa na mdomo sana na wivu wa kupindukia kiasi kwamba ukirudi nyumbani unanuswa hadi boksa.ilifkia nikawa nachelewa kurudi homu afu niko tusuu ili nikifika nilale tuu.siku hiyo nimefika akanianzia mdomo nikamchimba biti kali naona ananibebea kisu afu akanirushia nilikuwa kifua wazi kananipapasa begani.niliamka kwa asira hiyo kichapo nilitembeza ni mbwa koko na km sio watoto kuamka na kuanza kulia ndo nikahurumia watoto nikamuachia kachakaa uso wote.nikampa first aid vizuri akalala mbona adabu ikawepo.nikasema sijui sk zote nilikuwa wapi kuweka hishma ya kupiga vitasa.leo nimeona hili jambo hapa nikakumbuka huyu shilole wife wana undugu kutokea huko igunga unajua hawa wana ngebe sana sbb wana uchotara flani toleo la mwisho
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].heshima ikarudi hahaaaa vipi baada ya kupatana alitoa maoni gani kuhusu kipigo chako
 
Hivi na kwetu sisi wanaume tunapata wapi ujasiri wa kuoa mwanamke ambaye kachora tatoo kwenye kifua na maziwa! Wanawake wana namna hii hawafai kuolewa kabisa.

Tena uchebe naona kamgusa tu, kwangu angechezea vitasa zaidi muda huu angekuwa katundukiwa drip.
Ndio maana hujamuoa wew , why watu mnapenda kujudge lifestyle aliyochagua mwenzio Tena ambayo haikuhusu !!?
By all means huna haki juu ya mwili au maisha ya mtu
 
Weird. Mshkaji wakati huo tunaingia gym alikua ana ile busara ya kiislamu. Yaani alikua akiongea kitu reference ni Quran.

Anyway mshkaji ana mazoezi ya boxing pia, sioni kwanini ameamua kumpiga mwanamke ngumi za mtindo huo.

Siku zote hua sisapoti abusive relationship so hata alichofanya mshkaji sikisapoti.

Kwa mbali Nuh atafurahi (kama ana tabia ya kumuombea mabaya ex wake) ila hii ni wiki chache tangu binti auawe na mumewe.

Jamii tujifunze na kujua kama tupo kwenye abusive relationship ama la.
 
Haya yamemtokea mwanamama Shilole .
Mimi binafisi nimependezwa na jambo hili na nimeamua kushare na nyinyi ndugu zangu wanaume.

Mwanaume kumuoa mwanamke aliyekuzidi kipato ndiyo matokeo yake haya jamani ,hawa viumbe wakipata vijisenti ndani ya ndoa kunakuwa kama Club za Simba na yanga.

Kiukweli kwa namna moja au nyingine wanaume tunanyanyaswa Sana ndani ya ndoa zetu Mimi ni mmoja wapo .

Mimi binafisi najuta kuoa mwanamke msomi na mwenye mshahara wake jamani semina haziishi kwa huyu mama ,ninavyoandika huu ujumbe muda huu nipo kwenye hatua ya mwisho kumfanyia kama Uchebe alichomfanyia Shilole.

Wanawake mna nini lakini nyie viumbe jamani?

Kuna muda naweza kutoka kazini nikakuta mke wangu anajiandaa kutoka na hakunijulisha nikimuuliza utasikia kuna part ya Ofisi sijui Nani anafanya nn basi naishia kujikalia kimya .

Basi ndugu yetu Uchebe kuna watakao mlaumu mara mashirika ya haki za wa mama lakini na sisi wanaume nani atatutetea kwenye ulimwengu huu wa Malkia wa nguvu kila media kuna kipindi cha kuongelea masuala ya wanawake na haki zao sisi je?

Wanaume wengi tunakufa na tai shingoni.

Moderator ..Naomba msiufute huu uzi tuacheni wanaume tujadili hili kwa Uhuru View attachment 1501113View attachment 1501114View attachment 1501115
Sikushauri kabisa umguse.. Yakikufika kabisa chukua begi lako uchape lapa.. Jione ulikuwa chuo na umehitimu mahusiano ya kuzidiwa kipato

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom