Haya yamemtokea mwanamama Shilole .
Mimi binafisi nimependezwa na jambo hili na nimeamua kushare na nyinyi ndugu zangu wanaume.
Mwanaume kumuoa mwanamke aliyekuzidi kipato ndiyo matokeo yake haya jamani ,hawa viumbe wakipata vijisenti ndani ya ndoa kunakuwa kama Club za Simba na yanga.
Kiukweli kwa namna moja au nyingine wanaume tunanyanyaswa Sana ndani ya ndoa zetu Mimi ni mmoja wapo .
Mimi binafisi najuta kuoa mwanamke msomi na mwenye mshahara wake jamani semina haziishi kwa huyu mama ,ninavyoandika huu ujumbe muda huu nipo kwenye hatua ya mwisho kumfanyia kama Uchebe alichomfanyia Shilole.
Wanawake mna nini lakini nyie viumbe jamani?
Kuna muda naweza kutoka kazini nikakuta mke wangu anajiandaa kutoka na hakunijulisha nikimuuliza utasikia kuna part ya Ofisi sijui Nani anafanya nn basi naishia kujikalia kimya .
Basi ndugu yetu Uchebe kuna watakao mlaumu mara mashirika ya haki za wa mama lakini na sisi wanaume nani atatutetea kwenye ulimwengu huu wa Malkia wa nguvu kila media kuna kipindi cha kuongelea masuala ya wanawake na haki zao sisi je?
Wanaume wengi tunakufa na tai shingoni.
Moderator ..Naomba msiufute huu uzi tuacheni wanaume tujadili hili kwa Uhuru
View attachment 1501113View attachment 1501114View attachment 1501115