Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Vipi kama mwanamke akianza yeye kukupiga?Safi mkuu, mwanamke muonye mara ya kwanza, ya pili ya 3 kama aelewi na una ona hakuna mabadiliko yoyote una achana nae, kwa sababu unaweza kuua mtoto wa watu bure ukapata matatizo wakati kuna watu kibao wanakutegemea, wazazi, wadogo zako n.k
Mfano yule jamaa Mtanzania aliyemchoma dada wa watu visu akamuua kule Uingereza kipinde kile, sasa hivi si anaozea jela tu na majuto kibao.