Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Mara nyingi nimekuwa nikiwaambia watu kuwa huwezi kuanzisha mapenzi na STAA hasa mwanamke kama huna moyo wa kuhimili vishindo.

Mwanzo nilijua ndoa ya shilole na uchebe ni maigizo kama tulivyozoea drama za bongo movie na wasanii wa muziki, MTU anayetafuta ndoa yenye baraka na ambayo ni long term hawezi kumuoa STAA kama shilole kwahiyo uchebe alifanya makosa makubwa kuingia kwenye himaya ya shilole akiwa hana nyumba wala kipato cha kueleweka.

Shilole ni mwanamke mwenye sifa kem kem mjini na amekuwa kwenye mahusiano amabayo hayaku-work out kwa sababu ya tabia zake, Nuh mziwanda aliwahi kulalamika kupigwa sana shishi baby chanzo kikiwa ni tabia za shishi.

Kwa mujibu wa uchebe ni kwamba alimpa kipigo shishi baby lakini ni muda mrefu kabla ya kuingia kwenye ndoa all in all mwanamke hastahili kupigwa kiasi kile lakini pia wanaume fanyeni evaluation kabla ya kujiingiza sehemu mtakazo jutia baadaye.
 
Na hii hapa ni comment yake instagram kwa ShiloleView attachment 1501341
Sipo huko Instagram, ila hiyo retweet yake labda kaifuta...

Nilishaapa sitakaa nimpige mwanamke wangu, na hii ilitokea baada ya kuwa na misunderstanding na mdogo wangu wa kike, nikampiga vibao vya kutosha tu.. ila baada ya hasira kuisha nilimwomba dogo msamaha eventhough yeye ndiye alikuwa na makosa. Dogo alinijibu tu "don't ever fight or beat any other woman in your life".. Since then niliapa sitakuja kumpiga either mpenzi au mke wangu, na naomba Mungu tu ndio aniongoze..
 
1594235679536.jpg
 
Huwa nasema hivi, mwanamke hana tofauti na mtoto mdogo.

Mtoto anaweza akashika wembe akaanza kujaribishia kujikata, lengo aone utareact vipi. Same wanawake wanahuo ujinga, anafanya vitu kwa kutega, akiona kila kitu unachekacheka tu tayari anakupanda kwenye utosi.

Mheshimu with limits, akikiuka muonye asiposikia act kama mwanaume.
Ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
Hata kama ni halali kumpiga mke akikosea ila sio kwa ukubwa ule wa kipigo. Tena kapiga sana usoni alidhamiria kumuumiza na hata wakiachana awe hana soko tena maana front Ofice kashaiharibu.

Sijawahi kuona mama akipigwa hivo au mama yake uchebe ndio alikua anafanyiwa hivo.? (Sorry to say your mom)
kweli tumetofautiana!

yani kwa picha zile kuna kipigo kweli pale?

yani anapata mpaka nguvu za kishika simu mkuu unasema kapigwa?
 
Naelewa mkuu, lakini point yangu specific kwa case hii, dharau anazoletewa bwana uchebe hakutakiwa kufika huku kote, either ukubali kuzaraulika au ubebe vyako uondoke, umarioo sio kitu kizuri mzee.

Btw sio wanaume wote wameumbiwa kupiga wanawake no matter what.
Umarioo wa Uchebe ukoje!? Si ana ofisi yake (garage)? Unataka kusema haingizagi pesa!!??
 
Kupiga siyo suluhisho bora uachane naye tu
Mwanamke mwenye kilomita zimeenda, ashapigana vita kibao ww unangaika naye ya nini

Ova
Mrangi nna uhakika mishemishe zako zote za Kino Shilole unamjua vyema na huyu jamaa unamfahamu vyema hana sababu ya kumzibua mdada kisa hajatulia wakati na yeye ni walewale mwingi mno huyu bwanamdogo na wanawake zake sasa mhhh kituko
 
Back
Top Bottom