Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Hapa nimeshamueleza mke wangu atulie sitaki maneno maneno akileta mdomo ni usiku wa manane namchafua uso ndio dawa ya hawa wanawake ukipiga mchana anaweza kukimbia usiku ni mzuri sana uchebe kanifurahisha
 
Nimemskia Gardner G Habash kwenye Jahazi anakomaa kumponda Uchebe na akiomba Kamanda Siro amshike Uchebe bila ata kujua chanzo ni nini,,pia mwenye makosa ni yupi,!!Hii ni hatari,,je kama Shilole alimtukana Chalii ana kibamia??acheni izo ariff
Gadna anasahau matus alio mtukana lady jaydee ni Zaid ya hayo makovu ya shilole Tena yeye ndie alie fanya unyanyasaj kupita maelezo
Kwel mjin wanaume kama mabint
 
nasubiri kuusikia na upande wa pili (uchebe) kabla ya kuhukumu kesi ni lazima uzipe pande zote mbili haki ya kusikilizwa kisha ndipo uje na maamuzi ya nani ni mkosa baina yao.
 
Uongo mkuu, nimeenda kwa Twitter yake sijaona hiyo retweet leo...
Wabongo mbona tunakua wabishi sana, kwa hiyo unataka kusema hio picha ni edited, wakati nime i screenshot sasa hivi hata dakika 10 hazijapita
IMG_20200708_223244.jpg
 
Hivi kwanini uchebe anahukumiwa na jamii bila kusikilizwa ! nadhani kanuni za haki ya asili (natural justice )zinapaswa zituongoze na sio mihemuko na ushabiki.

Tusikilize pande zote then tufanye maamuzi, shilole huyuhuyu anayesema anapigwa sahizi ndiye huyuhuyu aliyekuwa anampiga Nuh Mziwanda...


Tusikilizeni utetezi wa pande zote

Kaka ni kweli wanawake tunakera sana sometimes, (kama ambavyo wanaume mnavyokera) na ni kweli kuwa kuna watu wameoa wanawake hawana busara hata kidogo, lakini ngoja nikufinyie siri ya ulimwengu, kumpiga mwanamke hata kama ana makosa kiasi gani ni mtego, akileta ujinga achana nae, tena ikibidi mkimbie, ukimpiga automatically makosa yake yanafutika jamii itashuka na wewe jumla jumla.

Itoshe tu kusema hata tukimsikiliza uchebe hukumu haiwezi kumkwepa, kazi kwenu wanaume kuishi na wake zenu kwa akili ama muanze kudai haki za wanaume teh teh! [emoji3]

Mi wa kwangu nikishaanza kurap huwa anaongeza sauti ya redio tu ili asinisikilize ninachosema [emoji3][emoji3]
 
Seriously ..... ...
Kuna makosa ya kupuuza tu ...hayakuathiri kitu .

Kuna makosa ya kuadhibu kwa mashine tu

Kuna makosa ya kuadhibu kwa mdomo na

Yapo yakuadhibu kwa makofi kwelikweli.

Yapo yanayotakiwa ya akina uchebe, ila kwakua Nakapenda kamoyo kangu, Napenda Maisha yangu, napenda kila kitu changu kwamba Bado natakiwa kufaidi mazuri ya mbele...Sikugusiiiii wala nn, Kuondoa Shali, Bebe nguo zako usepe kiroho safi, usingoje nikusepeshe na watu wakajua Umesepeshwa.
Mwanaume yeyote anayenyanyua mkono kupiga mwanamke ni umbwa tu
Sheria namba moja.
 
Anatafuta kiki huyo. Anaweza kuachia wimbo wa kampeni.



Kwa mtazamo wangu ni kuwa Hilo lishilole ni lidangaji la siku nyingi limeuzaga mtaro enzi hizo. Huyo uchebe unaoaje lidada lililoshindikana? Yaani unaoa "wake za watu"? Yaani unaoa msanii? Mdada kachora matatoo mwili mzima unategemea upate mke?😂😂.
 
Kwangu ningemvunja hiyo mikono yakuandikia upuuzi kama huu.
Wamawake wengine ni tabu tu..hawafugiki kama shilole
 
Huwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
Kwa akili so ndio hivyo Sasa🤣😂😉😂🤣
 
Back
Top Bottom