Panda II
Senior Member
- May 25, 2017
- 173
- 319
Mara nyingi nimekuwa nikiwaambia watu kuwa huwezi kuanzisha mapenzi na STAA hasa mwanamke kama huna moyo wa kuhimili vishindo.
Mwanzo nilijua ndoa ya shilole na uchebe ni maigizo kama tulivyozoea drama za bongo movie na wasanii wa muziki, MTU anayetafuta ndoa yenye baraka na ambayo ni long term hawezi kumuoa STAA kama shilole kwahiyo uchebe alifanya makosa makubwa kuingia kwenye himaya ya shilole akiwa hana nyumba wala kipato cha kueleweka.
Shilole ni mwanamke mwenye sifa kem kem mjini na amekuwa kwenye mahusiano amabayo hayaku-work out kwa sababu ya tabia zake, Nuh mziwanda aliwahi kulalamika kupigwa sana shishi baby chanzo kikiwa ni tabia za shishi.
Kwa mujibu wa uchebe ni kwamba alimpa kipigo shishi baby lakini ni muda mrefu kabla ya kuingia kwenye ndoa all in all mwanamke hastahili kupigwa kiasi kile lakini pia wanaume fanyeni evaluation kabla ya kujiingiza sehemu mtakazo jutia baadaye.